Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Doh! Hivi January ni better kwa Mwigulu kweli??
Maskini Eddo!
Duh,
Ama kweli usichokifahamu ni kama usiku wa giza!
Naona Membe anatafutiwa dirisha la kutokea lakini ninaamini Timu Lowassa ambao ni wajumbe wa Halmashauri Kuu hawawezi kutoa kura zao kwa Membe.
CCM wakijigonga na kumchagua Membe watakuwa wanajipa kibarua kigumu kwa sababu Timu Lowassa itahakikisha inamwangusha ili wakose wote!
Nafasi ya CCM kushinda kwa sasa iko kwa Magufuli kwa sababu hana makundi ndani ya chama!
Inawezekana ni kweli check Makamba alivopost Twitter sasa hv.[View attachment 267204
Uliyoongea yote ni kweli Mkuu,Kikwete kaamua kucheza karata hatari kabisa kuliko zote katika maisha yake sababu kwa hali ya mambo ilivyokuwa hauwezi kumkata Lowasa then ukamwacha Membe asonge. Na hauwezi ukamkata Mtu kama Jaji Ramadhani then ukampa nafasi Makamba Jr. Haya mambo ni kama yale ya KANU ya Moi na Uhuru wake vs wakina Kibaki.
Wewe unanini cha kunifanya mimi? Nnakwambia kama ni mwanamme kweli sema wapi unataka nikukute na nione utakachokifanya, nnakuasa tu uje kuhadithia kitakachokukuta.
Yaani hicho Kimakamba over someone like Dr.Mahiga? Hahaha
GENTAMYCINE uko juu... taarifa yako ya mchana ilikuwa ya ukweli. Ubarikiwe sana kuwa mkweli.
Hahaaha!! Ngumi tena??
No way. Nashauri mpingane bila kupigana.
LOL.
Uliyoongea yote ni kweli Mkuu,Kikwete kaamua kucheza karata hatari kabisa kuliko zote katika maisha yake sababu kwa hali ya mambo ilivyokuwa hauwezi kumkata Lowasa then ukamwacha Membe asonge. Na hauwezi ukamkata Mtu kama Jaji Ramadhani then ukampa nafasi Makamba Jr. Haya mambo ni kama yale ya KANU ya Moi na Uhuru wake vs wakina Kibaki.
Namuona mbowe anaingia kama msikilizaji
Bado Nasisitiza Na Nitaendelea Kusisitiza Kuwa Kuwa Ipo Siku Umuhimu Wangu Humu MTAUONA Na Nashukuru Kwamba Sasa Baadhi Mnaanza Kunielewa Na Fuatilieni Post Zangu Zote Za Leo NILIFUMBA SANA Kwa Sababu MAADILI Yalinibana Lakini Kilichotokea Sikuwa Nacho Mbali. Japo Nina Mapungufu Kadhaa Kama Binadamu ILA Nina FAIDA KUBWA SANA KWENU Haswa Kwa Kuwaleteeni Vitu Vya JIKONI Kabisa. Na Mimi Sasa Nataka Kujipumzisha Baada Ya Kazi Ndefu Na Tayari Nimeshapata Tena Breaking News Na Nikiamka Salama Asubuhi NITAWAMWAGIA au Kuwawekeeni Hadharani. Mchana Niliwaambia Watu Kuwa Kanyweni, Msheherekee Na Mfurahi Kwani Lowassa KAKATWA Lakini Nikaonekana Kama Natania. Sasa Naomba MNIHUKUMU Sasa Je Haijatokea? Narudia Tena Asubuhi Nakuja Na Kitu Very Exclusive.