Bado Nasisitiza Na Nitaendelea Kusisitiza Kuwa Kuwa Ipo Siku Umuhimu Wangu Humu MTAUONA Na Nashukuru Kwamba Sasa Baadhi Mnaanza Kunielewa Na Fuatilieni Post Zangu Zote Za Leo NILIFUMBA SANA Kwa Sababu MAADILI Yalinibana Lakini Kilichotokea Sikuwa Nacho Mbali. Japo Nina Mapungufu Kadhaa Kama Binadamu ILA Nina FAIDA KUBWA SANA KWENU Haswa Kwa Kuwaleteeni Vitu Vya JIKONI Kabisa. Na Mimi Sasa Nataka Kujipumzisha Baada Ya Kazi Ndefu Na Tayari Nimeshapata Tena Breaking News Na Nikiamka Salama Asubuhi NITAWAMWAGIA au Kuwawekeeni Hadharani. Mchana Niliwaambia Watu Kuwa Kanyweni, Msheherekee Na Mfurahi Kwani Lowassa KAKATWA Lakini Nikaonekana Kama Natania. Sasa Naomba MNIHUKUMU Sasa Je Haijatokea? Narudia Tena Asubuhi Nakuja Na Kitu Very Exclusive.