Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Nasisitiza Na Nitaendelea Kusisitiza Kuwa Kuwa Ipo Siku Umuhimu Wangu Humu MTAUONA Na Nashukuru Kwamba Sasa Baadhi Mnaanza Kunielewa Na Fuatilieni Post Zangu Zote Za Leo NILIFUMBA SANA Kwa Sababu MAADILI Yalinibana Lakini Kilichotokea Sikuwa Nacho Mbali. Japo Nina Mapungufu Kadhaa Kama Binadamu ILA Nina FAIDA KUBWA SANA KWENU Haswa Kwa Kuwaleteeni Vitu Vya JIKONI Kabisa. Na Mimi Sasa Nataka Kujipumzisha Baada Ya Kazi Ndefu Na Tayari Nimeshapata Tena Breaking News Na Nikiamka Salama Asubuhi NITAWAMWAGIA au Kuwawekeeni Hadharani. Mchana Niliwaambia Watu Kuwa Kanyweni, Msheherekee Na Mfurahi Kwani Lowassa KAKATWA Lakini Nikaonekana Kama Natania. Sasa Naomba MNIHUKUMU Sasa Je Haijatokea? Narudia Tena Asubuhi Nakuja Na Kitu Very Exclusive.
Kuweni makini sana. Mtu anaweza kuwa manzese anauza mitumba halafu anawazuga yupo Dom.
Ndio maana hata picha ya geti hawezi kuweka
Hatimaye Kamati Kuu imemaliza kazi yake, tano bora hiyo hapo.
Toa tuu sasa hivi hiyo habari maana tumekesha wote tangu asubuhi,kwa hiyo ukituacha hivi haututendei haki Mtani.
Usemalo ni kweli kabisa. Tatizo ni kwamba hakuna mbadala. Upinzani ndio hovyo mara kumi ya CCM.
Eti Makamba over Jaji Brigedia Ramadhani, Dk Mahiga, even Mwigulu us better.
Masikini yuke std 7 hakujua CCM ina wenyewe. Hiyo milioni 1 si angenunua pembejeo?
Anyway, I see Team Lowassa voting for Magufuli.
nimeamini ccm inafia kwa kikwete,yani hiyo list UKAWA TUNABEBA NDOO MAPEMA SANA