Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Cha kufurahisha zaidi UKAWA ndiyo wamejaa kwenye huu uzi kufuatilia mgombea wa CCM.
 
Sio kwamba anawasumbua, hata sisi tunasumbuka. Si unaona wewe ulivyoghafirika. teheteheteheteh
 
kuna mtu amesema lowassa akipita 5 bora atanipa mke wake, ndiyo nasubiri kwa hamu kweli naona muda hauendi kabisa maana nina hamu

Mimi kuna mmoja kaniambia Lowasa akipita Top 5 atanipa Binti yake anaesoma Chuo,sasa hivi ndio nimefika maeneo anayokaa nipo hapa Bar napiga Nyagi kabisa.
 
LOWASA ni hatar sana kwa wanaccm,leo npo kwny daladala watu wa huku ruvuma wanajihapa kabisa lowasa akikatwa jina hawampgii kula atakayepitishwa na kama atahama chama wako tayar kuhama naye! sasa hapo sjui huyu jamaa kawapa nn wanaruvuma?
 
Humu ndani wamejaaa wapiga porojo tu, tokea juzi watu wanatudanganya kikao cha maadili kimeshakaa, oohhh Jana usiku CC imekaaa kumbe zote zilikuwa ni Porojo tu, huu mchakato umefanya nione hili jukwaa ni la ovyo, nilitaraji yote yanayoandikwa kama si ya kweli basi hati yafanane na ukweli, ila ni uongo tu mwanzo mwisho....
 
mbona tayari wanaweka mambo sawa ili wawazibiti vibaka wao walio vaa kijani
 
Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Dr.Magufuli
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.

CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani
 
heshima kwako brother PakaJimmy. siku nyingi saaaana!!!
 
Last edited by a moderator:
Top o5
Mkeka wa MegaMix
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Asha Migiro
3.Prof.Mark Mwandosya
4.Makongoro Nyerere.
5.Mizengwe Pinda
Top3.
1.Justice Ramadhani
2.Dr.Magufuli
3.Dr.Migiro.

CCM Flag bearer
Dr.Magufuli
Runnermate.Justice Ramadhani
Totally unacceptable!
Where is our Masai-boy?
 
Back
Top Bottom