Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mimi kuna mmoja kaniambia Lowasa akipita Top 5 atanipa Binti yake anaesoma Chuo,sasa hivi ndio nimefika maeneo anayokaa nipo hapa Bar napiga Nyagi kabisa.

kuna mtu amesema lowassa akipita 5 bora atanipa mke wake, ndiyo nasubiri kwa hamu kweli naona muda hauendi kabisa maana nina hamu

Hizo ahadi mlizopewa mbona zinatisha! Kapimeni kwanza
 
1436537823123.jpg
1436537879079.jpg
 
yani watu wte macho dodoma
mpaka wapinzani wa ccm nao wanaifatilia
 
Seriously when did UKAWA get eaten in this CCM propaganda machine?i have not heard of anything about UKAWA presidential hopefuls or procedures in any platform in the same extent CCM has theirs, yet UKAWA wants to win the election.
UKAWA needs to get it's PR team together.., amateur time is seriously over.
Waiting for the ccm drop-outs
 
Sawa but Comrade mbona huyu jamaa anasumbua vichwa vya watu hivi?
Mkuu, hawawezi kufanya kosa hilo. Huyo jamaa kajiweka sawa kwenye NEC na mkutano mkuu. Kizingiti kwake ni kuvuka CC
 
Ni hatari sana kama CCM itamkabidhi bendera kiongozi wa kidini.

Tunahitaji kiongozi mwadilifu! We don't care yeye no nani ktika Dini yake. Kila mtu ana dini take. Wengine ni wazee wa kanisa, wengine mashekhe na ma-alhaji. Lakini hayo hayatuhusu.

Tunachotaka ni kiongozi bora, atakayeitoa Tanzania kutoka hapa ilipo kwenda uchumi wa kati. Hayo mengine hayatuhusu. Acheni kuleta hoja za udini hapa!
 
Back
Top Bottom