Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kwa nini wanawanyima watz haki ya kupata habari? wanaficha nini/au wanogopa nini? Hii ccm ya JK imekuwa kama vile hawajiamini!
 
Jamani na umeme nao wamekata sasa tutaangaliaje habari uuuwwwiiiiii.....

Umeme umekata umepost vipi hii habari(sory kumbe unatumia simu nilijua unapost kwa kutumia tv huyu lowasa kaushika pabaya huyu)
 
Nijuavyo Lowasa tayari keshajua maana ana wafuasi wake mule ndani ya CC.. kama kakatwa tayari ingejulikana... ila sababu hajakatwa wameamua kukaa kimya ili baadae iwe surprise
 
Sasa kama umeweza kuvumilia tokea mwaka 2005 hadi leo, unashindwa kuvumilia vimasaa kadhaa tu?
 
Back
Top Bottom