Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

ndio lowasa
 
Attachments

  • 1436556634215.jpg
    1436556634215.jpg
    53.2 KB · Views: 576
subirini msiwe na haraka,mimi ni mmojawapo ya wan team waliotoka DSM leo kuja kutoa ushauri wa kitaalamu jinsi ya kupata top 5
tupo kazini,ingawa mimi ni mwana ukawa mkubwa,nimekuja kula keki ya taifa huku Idodomya
 
Maskini Jaji Agustino Ramadhani hajui kama wanamtumia tu kwa ajili ya kumuengua Lowasa
 
Nimechoka, naenda kulala…Hamna jipya hapa labda mpaka kesho…yaani ni ubabaishaji mtupu
 
Back
Top Bottom