Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

apo kinacho ogopwa nan atamfunga paka kengere,.. ngoma imekua ngumu "ee ma mmvi wahurumie wenzako wana taabika cio vizur ivo kukaza"
 
Ungese huu huu wa kufanya kana kwamba Nchi yao ndio Mzee Kingunge alikuwa anaukemea juzi then watu wanamtukana. Huyu dogo na kikundi chake kidogo cha kijinga washaifanya hii Nchi ni mali yao peke yao kuwa wanatuamulia watakalo,kitanuka tuu muda si mrefu. Kumbe wanamfitini Lowasa kwa sababu ya Ukanda wake sio?

Mkuu nakuunga mkono nasema kindle tuu waache dharau zao hapa
 
Ukiona habari ina membe top5 ujue ni fiksi... Huyo jamaa hata top 20hawezi kuwepo
 
Kama hii ni kweli huyu pany'a wa mkwere kasema basi lowassa na awe rais tu..😡😡
 

Attachments

  • 1436562112296.jpg
    1436562112296.jpg
    30.8 KB · Views: 477
Back
Top Bottom