Yaliyojiri katika zoezi la kumuapisha Rais mteule Dkt. Magufuli katika uwanja wa Jamhuri Dodoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli anaapishwa leo katika sherehe itakayohudhuriwa na viongozi wa nchi zaidi ya 20 na mabalozi zaidi ya 80 kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Updates:

Rais Magufuli ameshakula kiapo kiapo na na kuweka saini.

Makamu wa Rais mama Samia naye ameshakula kiapo na kusaini.

Sasa Rais Magufuli anakabidhiwa mkuki na ngao kwa ajilu ya ulinzi wa taifa analoliongoza.
 
Time flies
 
Poleni sana ndugu ,jamaa na marafiki.

MITANO TENA.
 
Huu Uzi vipi ?! johnthebaptist . Walikuziria ?! . Au Leo ndiyo anaapishwa kwa kina malaika ?!. Uovu mbaya sana
 
Upo sayari gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…