Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

Hapana.... IMEI NUMBER ya simu no moja tu.... kila simu ina imei namba moja.
Rudia tena hujaeleweka? Simu ina laini mbili je inakuwa na IMEI ngapi? Kama unakiswaswadu kifungue kisome kisha tujibu kwa manufaa ya wengi
 
Ngoja ushatakiwe utafute wakili anayejua kiingereza sisi tunataka anayejua sheria
Mkuu kama hujui kiingereza hizo sheria utazijuaje wakati ziko katika kiingereza
 
Tuambie Mh. John Malya ameona nini huko washroom

Shahidi: Mheshimiwa Jaji samahani naomba niende washroom Kabla shahidi hajaruhusiwa katoka Kizimbani kwa speed sana.. Tunaita 'mkukuu' Naona hapa Wakili Nashon Nkungu na yeye kaunganisha nyuma kufuata shahidi, akashuhudie, ni Washroom kweli au wash-something else..

Shahidi karejea sasa kutoka mjini Washroom..
 
Hivi kwa nini mnafosi serikali iachane na hii kesi, kwa nini msiache tu kesi ifike tamati ili tujue mbivu na mbichi? Maana kama ni washtakiwa tayari wameshasota gerezani vya kutosha hadi wamezoea.

..kwasababu imeshathibitika kwa mashahidi 12 kwamba hakuna kesi, mashtaka ni ya uongo.

..kwa hiyo busara ni serikali kufuta kesi badala ya kuendelea kuwatesa na kuwasumbua Mbowe na wenzake.
 
..kwasababu imeshathibitika kwa mashahidi 12 kwamba hakuna kesi, mashtaka ni ya uongo.

..kwa hiyo busara ni serikali kufuta kesi badala ya kuendelea kuwatesa na kuwasumbua Mbowe na wenzake.
Maneno mengi ushahidi hamna ni mchakoto wao Ushahidi mpya ni kidaftari chenye michoro, ya vituo vya mafuta,........kwa kweli itawatesa sanaa huo ni ushahidi wakipumbavu sanaa
 
Ngoja nisubiri jumatatu Kibatala & Co wakianza shughuli ya cross examination kwa swila.
 
Huyu Utetezi tunaenda nae mpaka Ijumanne kama upande wa mashitaka watamaliza Leo Maana nae ni Shahidi muhimu Sana, ndo muandaa barua za kuomba uchunguzi na ndo mfungua kesi.

Here we Go..

Na katika hali ya ajabu kabisa ndiye muandaa jalada la uchunguzi/upelelezi na la kesi huku waliosikia kutoka kwa Urio ni DCI na Kingai. Nawaona wakubwa wakijiondoka katika mstari wa kuwajibika wakimtupia mpelelezi! Inakuwaje Kingai na mwingine wahoji washitakiwa halafu mpelelezi apewe tu maelezo!!
 
Physical evidence hiyo mliyokuwa mnaitaka
Jaji: Wakili wa Serikali Tuendelee

Shahidi Niliweza Kuangalia Kwenye Kidaftari na Kujua ni Maeneo yapi

Wakili wa Serikali: Sasa Ulienda Eneo gani ambalo ulikuwa umeona kwenye Ali Daftari

Shahidi: Makutano ya Barabara ya Kilwa na Mandela, Nilibaini Kituo cha Mafuta cha GBP, pia Kituo cha Kuuzia Mafuta Cha Puma
Pia nilitembea Eneo la Kariakoo Jirani na Mwendokasi Kuna Kituo cha Bigbon, pia Nilienda Kituo cha Basi cha Morocco pia Nilikuta Kituo cha Kuuzia Mafuta cha Jina la Total Kituo hicho nacho Kilikuwa kina fanya Kazi ya Kuuza Mafuta


Wakili wa Serikali: Baada ya Kutembelea Maeneo hayo, Ulifanya nini

Shahidi: Baada ya Kufika na Maeneo hayo, niliweza Kumjulisha Afande Ramadhan Kingai Kamishina Msaidizi Wa Polisi, aKanitaka nichukue Sampuli za Maandishi ya Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Khalfani Bwire
 
Acha ushabiki usionekane kama mtu ambaye ajaenda shule, hapo hamna evidance kumimplicte mtu, .......mchoro huo umekua interprted nani? Junction za barabara ziko hapo tu aliko ende paka Alete huo mchoro ndo utagundua kwamba police ni wajinga sana..........evidance kama hiyo ina loopholes nyingi sana huwezi kuprove beyond reasonable doubts
 
unaletaje uzi humalizi ujinga acha watuletee wanaoweza baba tayari mmeaza kuhujimu kesi kiherehere Jambo humaliz

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app

Acha upumbavu wewe, hivi unajua kuandika kama hawa wanaofanya hivi kuleta update ni jambo rahisi?
Yaani wewe hata kuandika kwa mpangilio umeshindwa halafu unalaumu mleta update, hata aibu huna?! Boya kabisa wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…