Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

Acha upumbavu wewe, hivi unajua kuandika kama hawa wanaofanya hivi kuleta update ni jambo rahisi?
Yaani wewe hata kuandika kwa mpangilio umeshindwa halafu unalaumu mleta update, hata aibu huna?! Boya kabisa wewe...
Boya mama ako nababa ako waliokuzaa falaaa wewe ,hii kesi tunauzoefu nayo toka inaaza kunawatu wanakuletea show mwanzo mwisho ,kund___lako

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Physical evidence hiyo mliyokuwa mnaitaka
Jaji: Wakili wa Serikali Tuendelee

Shahidi Niliweza Kuangalia Kwenye Kidaftari na Kujua ni Maeneo yapi

Wakili wa Serikali: Sasa Ulienda Eneo gani ambalo ulikuwa umeona kwenye Ali Daftari

Shahidi: Makutano ya Barabara ya Kilwa na Mandela, Nilibaini Kituo cha Mafuta cha GBP, pia Kituo cha Kuuzia Mafuta Cha Puma
Pia nilitembea Eneo la Kariakoo Jirani na Mwendokasi Kuna Kituo cha Bigbon, pia Nilienda Kituo cha Basi cha Morocco pia Nilikuta Kituo cha Kuuzia Mafuta cha Jina la Total Kituo hicho nacho Kilikuwa kina fanya Kazi ya Kuuza Mafuta

Wakili wa Serikali: Baada ya Kutembelea Maeneo hayo, Ulifanya nini

Shahidi: Baada ya Kufika na Maeneo hayo, niliweza Kumjulisha Afande Ramadhan Kingai Kamishina Msaidizi Wa Polisi, aKanitaka nichukue Sampuli za Maandishi ya Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Khalfani Bwire
Unajua kuwa kidaftari hicho kilishatupiliwa mbali na Mahakama?Hivyo basi ushahidi wowote utakaokuwa unahusiana na kidaftari basi ujue hauna maana katika maamuzi ya mahakama!
Hicho kidaftari ni sawa na hakipo baada ya kukataliwa mahakamani!
Sasa huo ushahidi wa miandiko ni upotezaji wa muda maana msingi wake ungekuwa na maana kama kidaftari kungekuwa kielelezo!U got that?
 
Physical evidence hiyo mliyokuwa mnaitaka
Jaji: Wakili wa Serikali Tuendelee

Shahidi Niliweza Kuangalia Kwenye Kidaftari na Kujua ni Maeneo yapi

Wakili wa Serikali: Sasa Ulienda Eneo gani ambalo ulikuwa umeona kwenye Ali Daftari

Shahidi: Makutano ya Barabara ya Kilwa na Mandela, Nilibaini Kituo cha Mafuta cha GBP, pia Kituo cha Kuuzia Mafuta Cha Puma
Pia nilitembea Eneo la Kariakoo Jirani na Mwendokasi Kuna Kituo cha Bigbon, pia Nilienda Kituo cha Basi cha Morocco pia Nilikuta Kituo cha Kuuzia Mafuta cha Jina la Total Kituo hicho nacho Kilikuwa kina fanya Kazi ya Kuuza Mafuta

Wakili wa Serikali: Baada ya Kutembelea Maeneo hayo, Ulifanya nini

Shahidi: Baada ya Kufika na Maeneo hayo, niliweza Kumjulisha Afande Ramadhan Kingai Kamishina Msaidizi Wa Polisi, aKanitaka nichukue Sampuli za Maandishi ya Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Khalfani Bwire
Unajua kuwa kidaftari hicho kilishatupiliwa mbali na Mahakama?Hivyo basi ushahidi wowote utakaokuwa unahusiana na kidaftari basi ujue hauna maana katika maamuzi ya mahakama!
Hicho kidaftari ni sawa na hakipo baada ya kukataliwa mahakamani!
Sasa huo ushahidi wa miandiko ni upotezaji wa muda maana msingi wake ungekuwa na maana kama kidaftari kingekuwa kielelezo!U got that?
 
Polisi kitengo cha upelelezi wangeajiriwa wale wenye ufaulu wa juu alafu wale wakulinda mabosi ndiyo wawe hawa "fomfo feliazi" kingyai nawenzie!!
Hapo akija kibatala utaona shahidi atavyogeuzwa ndondocha... ngoja uone
 
Unajua kuwa kidaftari hicho kilishatupiliwa mbali na Mahakama?Hivyo basi ushahidi wowote utakaokuwa unahusiana na kidaftari basi ujue hauna maana katika maamuzi ya mahakama!
Hicho kidaftari ni sawa na hakipo baada ya kukataliwa mahakamani!
Sasa huo ushahidi wa miandiko ni upotezaji wa muda maana msingi wake ungekuwa na maana kama kidaftari kingekuwa kielelezo!U got that?
My dear friend unfortunately it does not work that way- brace for the bad new- Mbowe is going to jail.
 
Thump up
 
Huyu bwire ndiye alikua informer wa urio na ndiye alimwambia urio kuwa wamekengeuka ndo maana amechelewa kumwambia kuwa akina lilenje wameenda kumdhuru sabaya. Leo tena amekutwa na kidaftari yenye Ramani ya maeneo ya milipuko dah!

Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
 
My dear friend unfortunately it does not work that way- brace for the bad new- Mbowe is going to jail.
Nyie akina wabambikiaji ndio mjiandae kwenda kuungana na bosi saa mbovu.
 
Mkuu kama hujui kiingereza hizo sheria utazijuaje wakati ziko katika kiingereza
Kujua kiingereza ni subset. Set nzima ni kujua sheria. Maana yake: unaweza kujua kiingereza na usiwe mjuzi wa sheria, lakini kama unajua sheria (aromatically) utakuwa unajua kiingereza. (Hii ni ktk mazingira yetu haya ambapo lugha ya kufundishia sheria ni kiingereza)
 
Back
Top Bottom