Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Wewe ni mke MBOWE?She is phycisian.Ana shinda busy na wagonjwa tuulize tunao shinda naye kazini ndiyo tunajua ukweli.Ulitaka ashinde kwenye mitandao kama wewe ulinayesubiria kulipwa Elfu 7 hala mama yako anayetarajia kupata kansa kwa sababu laana yako atatibiwa na nani?Stupid.
 
Kaka Kama mtaweza mtuwekee kwa pamoja mtiririko wa previous updates katika Update za siku hiyo (Sasa naona mnatuwekea ya Jana yake) itatusaidua hata kwa baadae kufanya marejeo kwa urahisi. Ni wazo tu Kiongozi.
Noma kweli !
 
Upande wa Jamhuri wanabebwa hawabebeki... Mara shahidi apewe madesa kutoka kwa msajili wa mahakama bila utaratibu. Mara Shahid anajibu maswali kwa kusoma diary.. Yaani aibu tupu!!!
 
Rubbish for trashcan.
 

Jaji wa kimkakati ataikataa Tu hio Hoja ya Akina kibatala

Kila hoja jamaa atazikataa tu
 
Kwahiyo hawa Mawakili wa serikali wamethibitisha bila shaka kwamba Mbowe ni Gaidi aliyepanga kuweka magogo toka Mbezi Luis mpaka Uyole junction pamoja na kulipua vituo vya mafuta mikoa minne kwa JUMLA KUU ya 600,000?

Hahahahahah yaani kuna mambo yanachekesha sans
 

Team Kibatala wana pupa nyingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…