kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Ndo nani huyo Mgaya...!
Bwashee kuna mada nyingine sio kufungulia uzi, zipotezeeMzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?
Hapo Kenya tu tuliona namna yule kijana wa kipare Rashidi Mberesero alivyokuwa anaingizwa mahakamani sura yake kavu kana kwamba anaishi kwa kula mawe, anasema Mgaya.
Hapo sijawazungumzia wale wa Guantenamo, amemalizia Mgaya.
Maendeleo hayana vyama!
Hajawahi kusoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho hadi 2005. Ibara ya 13(6)(b) inasema hivi: 'no person charged with a criminal offence shall be treated as guiltyMzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?
Hapo Kenya tu tuliona namna yule kijana wa kipare Rashidi Mberesero alivyokuwa anaingizwa mahakamani sura yake kavu kana kwamba anaishi kwa kula mawe, anasema Mgaya.
Hapo sijawazungumzia wale wa Guantenamo, amemalizia Mgaya.
Maendeleo hayana vyama!
Kule Nigeria Magaidi wameua mageneral watatu wa jeshi tit for tat.Mzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?
Hapo Kenya tu tuliona namna yule kijana wa kipare Rashidi Mberesero alivyokuwa anaingizwa mahakamani sura yake kavu kana kwamba anaishi kwa kula mawe, anasema Mgaya.
Hapo sijawazungumzia wale wa Guantenamo, amemalizia Mgaya.
Maendeleo hayana vyama!
😅😅😅Kuhusu hii kesi, hata Mawe yatasema tusiposema.
Raia ni wauza mbege na yule mpiga picha na mkulima wa mbogamboga, mtumishi wa TigoKule Nigeria Magaidi wameua mageneral watatu wa jeshi tit for tat.
Wiki hii hii Kule Msumbiji Magaidi wameua Wanajeshi 17 na Raia mmoja.
Ushahidi wa Ugaidi unaojulikana na Polisi pekee ni wa ajabu sana.
Kwamba Mbowe ni Gaidi na Matukio ya kigaidi aliyofanya/ aliyotaka kufanya mashahidi ni polisi tu hakuna hata Raia mmoja aliwahi kushuhudia? Huu ni ugaidi wa aina yake.
Raia wametoa ushahidi wa ukamataji sio ushahidi wa tukio la kigaidi.Raia ni wauza mbege na yule mpiga picha na mkulima wa mbogamboga,mtumishi wa Tigo
Tuna ushahidi wa kutosha.siyo malaika
Utumike kuwa mfano kwenye vitabu vyote vya elimu ya uraia Tanzania.Kule Nigeria Magaidi wameua mageneral watatu wa jeshi tit for tat.
Wiki hii hii Kule Msumbiji Magaidi wameua Wanajeshi 17 na Raia mmoja.
Ushahidi wa Ugaidi unaojulikana na Polisi pekee ni wa ajabu sana.
Kwamba Mbowe ni Gaidi na Matukio ya kigaidi aliyofanya/ aliyotaka kufanya mashahidi ni polisi tu hakuna hata Raia mmoja aliwahi kushuhudia? Huu ni ugaidi wa aina yake.
Hivi mama mwenyewe hana mawazo binafsi?Kuna watu wanamdanganya huyo mama kuwa magu alikuwa anapendwa sana, hivyo na yeye ameamua kuiga kila kitu ili na yeye eti apate mvuto! Ndio maana naye kaingia kwenye ulimbukeni ule ule wa kutaka media covarage kwenye kila kitu.
Mzee Mgaya ni nani?Anamjua mwenyewe johnymbatizaji
Ova
Jamani huyo MBOWE si mumfunge fasta fasta mioyo yenu ifurahi?Mzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?