Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Busara huwa inanielekeza kuwa Brained individuals hutoa hoja bila matusi kwa kuwa angalau humtofautisha na anayejibizana naye. Otherwise huwezi kuwatofautisha.
Nakwambia huyu ni blood bastard, amenitukana bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, upset nikamrudishia
 
Nakwambia huyu ni blood bastard, amenitukana bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, upset nikamrudishia
Achana naye msitumie lugha ngumu kwa vyovyote vile kwa ufahamu wangu wewe ni mtu uliye elimika sitarajii kuona hili
 
majamaaa ni weupe sana mpaka una jiuliza hawa nao wamesoma vyuo vyetu kweli ama walipita bangalore university kama yule wakili wa MIC
Jaji alikua hakimu hana uzoefu wowote katumwa kutoa hukumu, WS ndio weupe kabisa hawana uzoefu wowote ndio mana serikali huwa haishindi kesi zaidi ya kulazmisha kuhukumu.
 
Huyu mshahidi mwiz mwiz tu! Juzi kaiba kieleleo mahakaman jaji kauchuna! Sasa kaibia majibu kwenye kibom jaji anataka kumfever tena! Tabu tupu
Huko Arumeru Arusha kaiba 100m kwa kumpachikia mzee maeda pembe ya ndovu... Bado alikuwa anakashfa ya kuvusha bangi namanga kwenda Kenya
 
Kuna watu wanamdanganya huyo mama kuwa magu alikuwa anapendwa sana, hivyo na yeye ameamua kuiga kila kitu ili na yeye eti apate mvuto! Ndio maana naye kaingia kwenye ulimbukeni ule ule wa kutaka media covarage kwenye kila kitu.
Kuna clip Kule Jamhuri ya Twitter, akipepesuka leo wakati akikagua gwaride la makamanda. Alionekana kuishiwa nguvu ghafla. Msaidizi wake akamsaidi Kwa kutumia bega lake.
 
Maamuzi atayatolea kesho, kama nikuachana na shahidi na ushahidi wake wote alio utoa,
au kuendelea nae..
Nikuchanganyana tu.Kama sheria iko wazi ilikuwaje kinotibuku kichukuliwe na mahakama.kwa mtindo huo kesi ndogo zitazaliwa hadi 2025.Ndipo kesi za msingi zitaanza
 
Ni uelewa wako finyu tu mkuu ndio maana ulikuwa unaona ni ushamba
Nyerere wakati akienda mstari wa mbele vita na nduli alikuwa alivaa combat za mgambo, ndio rank ya mafunzo ya kijeshi alioyapitia. Hawa kubwa sare za jeshi ni kujimwambafai.
 
Nyerere wakati akienda mstari wa mbele vita na nduli alikuwa alivaa combat za mgambo, ndio rank ya mafunzo ya kijeshi alioyapitia. Hawa kubwa sare za jeshi ni kujimwambafai.
Kwani shida iko wapi rais akivaa hizo sare?
 
You are very right! Amenitukana, sijapenda katu and as long as simjui na sitaweza kumwadhibu, namtukana as well! For sure I know that abusive language is not a line of my age, but when it comes to undisciplined blood bastards, then I have to adopt the wrong way anyway! Apology if I have offended you!
Huyu chapwa24 ni taabu kweli...

Anajidai ni Mwanasheria na katika mjadala huu anataka kulazimisha mawazo yake yawe sheria...

Ukionekana kumbishia kidogo, anakrushia maneno magumu kama "wewe nyumbu tu" au "wewe Kilaza" au "wewe ni ndezi" nk nk

Labda ni miingoni mwa mawakili wa serikali ktk kesi hii. Akimaliza ya mahakamani, huja huku kwenye social medias kujaribu kupima upepo...

Anaposhindwa na nguvu za upepo huo, huachana na hoja na kuanza kurusha matusi...

Poor chapwa24 !!

However, nakushauri kuachana naye. Ukiona anaanza kurusha matusi, let him/her go. Hutapoteza chochote...
 
Jaji zamani ilikuwa Ni heshima kubwa kuteuliwa lakini Hawa wa sasa Ni Vimeo.Haiwezekani kila shahidi lazima jaji apate pumziko
 
Mzee Mgaya anasema Freeman Mbowe awapo mahakamani huwa anarelax kama mzee wa Kanisa, sasa huyu ni gaidi kweli au wanashughulika na wrong person?

Hapo Kenya tu tuliona namna yule kijana wa kipare Rashidi Mberesero alivyokuwa anaingizwa mahakamani sura yake kavu kana kwamba anaishi kwa kula mawe, anasema Mgaya.

Hapo sijawazungumzia wale wa Guantenamo, amemalizia Mgaya.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom