Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Anzisha tu kanisa maana huku pagumu- MAPINGAMIZI HAYANAMASHIKO
 
Magu alikuwa anapendwa na watu wasio na akili tu
 
Let us go to the popular court of citizen mwacheni Hanghigher atekeleze anachotaka! Lakini 2025 hafiki huyu kifutu wahead! sisi tunaongozwa na serikali photocopy!
 
Hii kesi kama umefuatilia tangu mwanzo, maamuzi ya majaji, kuna kila dalili Mbowe anaenda lupango...it's a sad truth 😥
 

Mahakama ni sheria sio siasa, lakini hii ni siasa sio sheria. Kww mahakama hizo hizo zilizofunga watu kwa kuagizwa, kisha kwenda kwenye mahakama ya rufaa jaji anashangaa hukumu iliandikwajwe? Hivi mnadhani hatuna uelewa kiasi kwamba tukubali kila wafanyacho mahakama? Ingekuwa ni mahakama zinazoaminika hapo sawa, sio hizi zilizojazwa siasa chafu za ccm.
 

Unatamani awe anatunyoosha, mbona tuko poa kinoma. Tuna uelewa mpana wa mambo kuliko unavyodhania.
 
Jaji katoka hivyo kwani sheria ipoje ikiwa jaji hatatokea mahakamani? Maana jaji nmepishana nae hapa yupo kibati na Prado yake huku analalama " Mimi nilisema mapema sitaweza," aah aje mwingine yeye amechoka maagizo
Ha ha haha Haa ha aha ha haa
 
Mmegoma kurejea,,[emoji1745]
 
Hiyo hadhala inatambulisha nyie wajane na mayatima aka sukumagang!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…