Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

Corona ilifanya makubwa sana
 
Corona ilifanya makubwa sana
Kuna watu wanawajibika na majukumu muhimu ya familia zao.
Leo akiumia huko au kuwekwa mahabusu?

Au nikuulize?

Mpaka sasa tupe mfano hata kidogo kuna nini chadema inachozisaidia familia za kina Adamoo?

Zaidi ya kuwaita Makamanda!

What next?

Wale watoto wa Marehemu Alphonnce Mawazo mliwatumia kwenye kutafura political mileage,kule kanda ya ziwa.

Na huku mkiiuzugusha mwili wa marehemu Mawazo mpaka mlipofurushwa na wakazi wa Mwanza.
Na hatimae mkaurudisha na kuuzika kule kwao Geita.

Mliahidi kuwasomesha wale watoto.Lakini mpaka leo ebu tutajie jina la shule na akaunti inayolipiwa na Chadema kwa karo za masomo yao?

Sio kila mtu ameweka siasa mbele bila tafakuri.

Msiwatumie wananchi innocent kwa daraja la kufikia malengo yenu kisiasa.

#Mmawia ikufikie hii.
 
Mimi ni mwanachadema,
kwakweli mwenyekiti wetu mzee Mboe amekitia doa baya sana chama kwa matendo yake ya kihalifu ambayo sisi wananchama tulikuwa hatuyajui.
sasa wanachama wengi wanikiogopa chama na kukihama kwa ajili ya tuhuma zinazo mkabili za ugaidi
 

Tatizo lako unawaona CHADEMA Kama hawana haki katika nchi yao na hawana Uhuru was kufanya Jambo lao. Bunge wamewaachia mlitawale mmebaki kufukuzana wenyewe kwenye uspika. Serikali wamewaachia muuongoze mmebaki kukopa na kutoza Kodi. Kama hamuwapendi wananchama wa CHADEMA tungeni sheria ya kutufuta Uraia. Sio Kila Jambo CHADEMA wakifanya wewe kwako Ni dhambi, lakini serikali inayotoza tozo zisizoeleweka kwako Ni sawa.

Fahamu Tanzania Ni nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi na sio chama kimoja tu. Kama hamuitaki CHADEMA tungeni sheria ya kurudisha mfumo wa chama kimoja.
 

Tangu lini CCM akawa CHADEMA. Naona ushahidi wa Goodluck umewaacha uchi. Mpelelezi anapeleza kosa ambalo yeye anasema hawajahi kuambiwa.
 

Naona CHADEMA inakunyima amani ya moyo. Pamoja na hila zako zote lakini hujafanikiwa. Umebaki kutunga uongo wa mawazo na akina adamoo ili nafsi yako mbaya ifurahie.

Wale washtakiwa wenzake na Mbowe walikuwa makomandoo, na walikuwa wawe walinzi wa Mbowe na sio CHADEMA. Lakini wewe umekazania CHADEMA iwasaidie, kwanini wewe usiwsaidie?. Tofautisha shughuli za Mh. Mbowe binafsi na chama Cha CHADEMA.
 
Wamevunja sheria?Kama hakuna sheria waliyovunja basi acha wafanye kile nafsi inapenda!
 

Wasalimie hapo lumumba,Shwain!Mambo ya kujifanya mwana CDM Ili kuhadaa watu ni upuuzi na kutojiamini Kwa kile unachotaka kusema!
Uzi Huo hapo juu wa kukuumbua kuwa wewe si mwanachadema kama unavyodanganya hapa!
 
Kuwawekea mawakili nadhani ni msaada mkubwa Kwa familia za akina Adamoo,sidhani kama wangemudu hizo gharama!
Pili,kama Kuna wa kulaumiwa ni serikali na vyombo vyake!Hawaangalii nani wanamuumiza as long as ni daraja la kumsulubisha Mbowe!
Serikali za kishetani ndio hufanya unyama wa kiwango hicho!
 
Hivi jamani division 3 ya 21 inakuaje S ina point 6, F inapoint 7 zikiwa S 3 =18 zikiwa F3 21 kwa maana hiyo alipate F zote hiyo ni division zero.....kaenda police loh.
Na degree akapata
 
Nyie ndio kupe mnaotunyonya Kwa kufaidi keki ya taifa hii nchi mmefanya Mali yenu kurithishana unaongea upumbavu ili tuamini unahuruma Sana kumbe ni mbinu ili muendelee kutunyonya shuwaini
 
24 January 2022

Mahakama Kuu
Divisheni Maalum ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi
Dar es Salaam, Tanzania

UCHUNGUZI WA KUPIGWA RISASI LISSU WAIBUKA MAHAKAMANI

Detective Goodluck Minja shahidi upande wa Jamhuri ktk tuhuma ya Kesi ya ugaidi namba 16/ 2021 ashindwa kujibu maswali kuhusu kama polisi wanaendelea na uchunguzi wa nani anahusika ktk tukio la (kigaidi la) Tundu Lissu kumiminiwa risasi


Source : MwanaHALISI TV
 
Hivi jamani division 3 ya 21 inakuaje S ina point 6, F inapoint 7 zikiwa S 3 =18 zikiwa F3 21 kwa maana hiyo alipate F zote hiyo ni division zero.....kaenda police loh.
Hata mimi nilijiuliza. Form Six Div 3 inaishia 15. Baada ya hapo ni div 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…