Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

Chadema mnajitahidi sana kumtoa mwenyekiti kabla ya hukumu.

Kama hana hatia na mnao uhakika,mbona mnatafuta huruma mitandaoni?

Pia kesi inaelekea ukingoni,je kwa nini msiache hukumu itoke...
Voicer na wewe, Hebu hesabia "umati" wa Wanawake kwenye hiyo picha huwaoni?😷😷
 
TANGAZO MUHIMU: Mlio karibu na Kibatala naomba mmshawishi 2025 aende Ifakara/Kilombelo kule kwao akagombee ubunge kabisa, fedha za Campaign wadau tutatoa nikiwemo mim nitatoa Magari ya kufanya kampaign na pesa ya mafuta vingine wadau watatoa, tafadhali mshawishini.Maana Bunge lile litafaudika Sana na shule yake.
 
Atashinda kwa style gani?2020 si uliona CCM ilichokifanya?
 
Kusema ukweli hakuna haki duniani. Watu wanasota rumande kwa kosa la kula njama, na njama zenyewe hazioneshewi Kila siku ni yaleyale. Kama Jaji atatumia confession kuwatia hatiani kina Mbowe basi atakuwa ametenda kosa la Maisha.
Tulitegemea wakutosha ushahidi usio na shaka ni akina Goodluck, Kingai, Mahita, Aziz, Jumanne . Sasa wamekiri hata sababu ya kumkamata hawajui.
 
Hahahaha Hatashinda kwani Tz kushinda nani kasema ni kwa Kura nyingi?
 
Wewe Twilumba umenifurahisha kweli.Kumbe lishahidi lao liko jijini tangu siku ya jumapili lakini kila likilishwa matango pori linatema.Kuna lile.liliingia na diary.
 
Dogo Kunambi atamuua kwa risasi kabisaaaa
 
Mbona husemi ukweli- Taifa kweli limemiss au CHADEMA ndiyo mmemiss?
 
Tulishawambia muende Burundi hivi bado mpo? kama mpo basi mnakubaliana na uhalisia= kazi iendelee
 
Polisi hafahamu kwamba Mkuu wa wilaya ndio Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya hiyo wilaya? Ama sio polisi huyu
 
Tunashukuru kwa kazi hii ya kutuhabarisha kwa ufasaha.imekaa kama umeleta vyote kwa ufasaha.Ila najifunza sana mambo ya kubambikia watu kitu ni kazi kubwa sana.Na mahakama ni sehemu muhimu sana.maana vitu vinawekwa wazinkabisa.ukiwasikia polisi wanapotoa taarifa kwenyr vyombo vya habari unaweza wachukia watuhumiwa right away,kumbe mambo mengi yanakuwa yamepotoshwa.

Ila lile neno linalosema "patana na mdai wako kabla hajakufikisha kwa kadhi......" sababu kwa kadhi shughuli ni kubwa sana.nadhani kuna mashaidi wengine wanajuta kuingia katika kesi hii.maana kuna elements za kujidhalilisha
 
Lakini hapo wa kulaumiwa sio CDM, ni hao waliomuua kamanda, familia zao zitaibeba hiyo laana
 
Ubunge hamna lolote ni kuharibu brain za watu, ili aanze kujadili na wa darasa la saba, bora hapo hapo aendelea na taaluma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…