Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 3, 2021: Shahidi Upande wa Mashitaka ashindwa kutokea Mahakamani, kesi yaahirishwa hadi Novemba 4, 2021

Vipi kama shahidi anayeongelewa ni Sabaya, maana nae kaugua na nasikia yupo kwenye orodha.
 
Mchawi wao namba moja ni yule Askofu Mwamakula, ndio ana tunguli zote, mzuieni asiingie mahakamani.
Wanaloga balaa! hadi mashahidi wanasahau baadhi ya maneno, aisee!! pia kuna wabibi/wamama wamebeba madude ya ajabu kwenye mikoba yao, unawakuta wamejibanza katikati ya ukumbi wanafanya mambo yao! Duh! aise wamezidi.
 
Nimekuta mahali taarifa kuwa shahidi wa sita kwenye kesi fake ya Freeman Mbowe Jana aliingia mitini.

Sikusikia taarifa hizi, ila kama ni kweli basi hao mashahidi 20 wengi watapotea au watajipoteza.
 
Labda shahidi alikua hajakariri point zake za uongo za kwenda kusema mbele ya mahakama
 
Nimekuta mahali taarifa kuwa shahidi wa sita kwenye kesi fake ya Freeman Mbowe Jana aliingia mitini.

Sikusikia taarifa hizi, ila kama ni kweli basi hao mashahidi 20 wengi watapotea au watajipoteza.....
Zitakua za kweli mkuu, hata ningekua mimi ningeingia mitini maana kutetea uongo dio kazi ndogo, yale maswali ya Kibatala na Malya wewe huyaogopi?
 
Zitakua za kweli mkuu, hata ningekua mimi ningeingia mitini maana kutetea uongo dio kazi ndogo, yale maswali ya Kibatala na Malya wewe huyaogopi?
Unatetea uongo baada ya kuapa mbele za Mungu.
 
Vipi kama shahidi anayeongelewa ni Sabaya, maana nae kaugua na nasikia yupo kwenye orodha…
Sabaya ana tumbo la kuhara, naskia anahara mbege alizokunywa kwa yule shahidi wa Rau madukani
 
Ubarikiwe na Bwana mkuu kwa kutupatia kila kinachoendelea hapo mahakamani kwa hii kesi ya kubumba ukweli na uongo utajulikana Mungu atakuwa upande wa akina mbowe.
 
acheni kuroga, mnachafua mazingira.
kwani nini hamjiamini?!
walinzi wa mahakamani fanyeni kazi yenu ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…