Nikujibu kwa kifupi sanaUnadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
Kile kipigo kinaigopeshaKesi hii itoshe kuonesha kuwa Wanajeshi na Makomandoo wa JWTZ wamechezea kichapo sana kutoka kwa Polisi. Na itakuwa wanawadharau sana kuwa si lolote.
Tena kichapo heavy, hii ni aibu kubwa kwa JWTZ, highly trained soldiers ( commando) kuzalilishwa kiasi hiki na wahuni wachache haikubaliki ni dharau kwa Jeshi.Kesi hii itoshe kuonesha kuwa Wanajeshi na Makomandoo wa JWTZ wamechezea kichapo sana kutoka kwa Polisi. Na itakuwa wanawadharau sana kuwa si lolote.
Katili sana huyu!Jamaa anaonekana ana roho ya kikatili sana
Amiri Jeshi Mkuu au Jenerali wa Jeshi sio Komandooo!unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
haya mateso si ya ki-ubinadamu kabisa !! so sad.Wakili wa Serikali: Na Muda wote huo Hukuwa unakula kwa sababu Ulikuwa Umefungwa Pingu
Shahidi: Ndiyo, Nilikuwa Nashindwa Kula sababu ya Pingu na pia nilikuwa nahofia Nitashindwa kujiosha Baada ya Haja
Jaji: Kwa hiyo tunakubaliana Tarehe 07 Mtaleta Submission lakini Uamuzi wake Mahakama Itatoa Tarehe 14/12/2021
Jaji: Na Wakati Wote huo Washtakiwa Watakuwa Rumande chini ya Magereza, Nawatakia Maandalizi mema ya Submission
Jaji anatoka
haya mateso si ya ki-ubinadamu kabisa !! so sad.
Wakili wa Serikali: Na Muda wote huo Hukuwa unakula kwa sababu Ulikuwa Umefungwa Pingu
Shahidi: Ndiyo, Nilikuwa Nashindwa Kula sababu ya Pingu na pia nilikuwa nahofia Nitashindwa kujiosha Baada ya Haja
Kwa kweli ushahidi wa Mchome unafikirisha. ATI:Mchome umeharibu sherehe mtaa wa Lumumba!
Hivi wewe unaelewa maana ya watu wasiojulikana, au unachangia mada tu ili mradi umechangia?unadhani haya yamefanyika bila Amiri Jeshi Mkuu na viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujua? Kuwa na amani unachowaza hakiwezi tokea
Kwa kweli ushahidi wa Mchoje unafikirisha. ATI:
- Sikuwa na kitu nilipojaguliwa
- Alimwomba mpelezi achukue pesa kwenye PPR yake akamnunulie chakula
- Huyo mpelelezi alikuwa akimletea chakula mahabusu
- Anajua jina la mpelelezi na namba yake ya usajiri
- Lakini hajui majina na namba ya usajiri askari wa mapokezi na wa mahabusu
Du!!!!
Sema anaonekana Hana akili wenye roho zakikali wanamwonekano wa upoleJamaa anaonekana ana roho ya kikatili sana