Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi - Sept 17, 2021

USiTie chumvi usiongeze au kupunguza kitu leta kitu Kama kilivyo sisi wenye akili tutajua mzani upo wapi acha kuongeza mbwembwe , hata usipotia chumvi sisi wenye akili tutajua tyyuuyy
 
Michezo michafu kama hii ya CCM ya kuiba chaguzi nchi nzima, kubambikizia kesi, kupoteza familia za watu etc watakachovuna ni violent Nation ambayo haitawaacha wenyewe salama
 
wanafuatilia pesa walizo mpatia mbowe ili wachafue hali yahewa ya nchi hii imekuwaje ameshindwa? na lazima azitapike mbowe hela za mabeberu na hawatakubali mahakama ikimuachia huru
Mabeberu hawana majina?Hebu wataje tafadhali
 
Mkuu acha kukaa tu safu ya mbele, hata kama kesi ikienda kusikilizwa nyumbani na chumbani kwa Mbowe- ATAFUNGWA siyo kwa kuonewa bali kwa ushahidi makini wa polisi wetu
Acha bwana.uchungu ulonao naweza sema unatosha mtu kujifungua
 
PGO PGO kesi moja ya kihistoria inayoenda kuleta ukombozi Tanzania.

Kila jambo linatokea kwa makusudi ya Mungu
 
Mwamba Mbowe the Pearl of democracy in Tanzania and afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…