Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Nimeahidi staff wenzangu kuku kwa ubwabwa ikiwa Mbowe atapigwa kifungo chochote!!! Ee mollah fanya Jambo hili litimie kwa huyu gaidi.
 
Hii kesi imekaa kimasilahi zaidi
 
Heshima kwa wote.

Nafuatilia hii kesi ya Mbowe na wenzake watatu najikuta nacheka na kusikitika kwa wakati mmoja.

Mosi Magaidi wanampango wa kwenda kulipua vituo vya mafuta na kukata Miti hawana Mabomu wala mapanga au Cheingso.

Pili katika hati ya mashtaka hakuna ushahidi kwamba walikuwa na mkutano au kulikuwa na ushahidi wa kilichopangwa na kupangika.

Tatu kulikuwa na mpango wa kumdhuru Sabaya lakini hakuna aina yoyote ya silaha iliyokamatwa kama kielelezo

Aina hii ya kesi ipo Tanganyika pekee yake yaani Polisi anaweza kukamata na kuandaa mashtaka bila ushahidi wenye mashiko na ukakaa mahabusu muda wa kutosha.

Ipo haja Police wetu kurejea upya darasani na kujifunza namna bora ya kuandaa mashtaka, kupeleleza na hatimaye kupelekea kesi Mahakamani, kinyume chake ni kupoteza fedha za walipa kodi buuure.

 
Kesi ya kupikwa na ushahidi huwa wa kupikwa.
 
Kuna yale madawa na bastola waliyombakizia mmoja wa hao washtakiwa! Ila katika hali ya kushangaza, kati ya hivyo vitu viwili, hakuna hata kimoja kilichofikishwa mahakamani kama ushahidi!!

Kiukweli kuna mambo yanafurahisha sana!!
 
Mungu anazidi kutenda miujiza
 
Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!
 
Nimekosa ile "Zeal" ya kuendelea kufuatilia "Proceedings" za "Kesi" hii hasa baada ya kugundua kwamba kumbe Tanzania hatuna kabisa majaji tulionao ni wa kimkakati tu. 😛 😛
 
Yaani Mimi nilivyosikia kuna "Caution Statement" ya mshtakiwa No.2 inabishaniwa nikajua ina jambo kuubwa la maana ndani yake kumbe inadhihirisha tu uovu wa Kingai na kundi lake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…