Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021


Ndio ushangae,kifupi Kingai kama key witness kazidi kuharibu kesi dhidi ya magaidi wa kuchongwa.
 
... Ile trial within a trial kimsingi haikuwa na ulazima sana zaidi ya kuendelea kuwaweka Mbowe na makomandoo mahabusu unnecessarily! Japo imetufumbua macho wengi, kwa ushahidi aliotoa RPC Kingai leo, kesi ndogo haikuwa na umuhimu.
Hapana aisee I strongly disagree with you.... Tumejifunza mengi sanaa labda kama wewe siyo observant: uteswaji unaofanywa, tabia ya washtakiwa kuzungushwa vituo ili ndugu wasiwaone haraka (rejea maelezo ya Adamoo kwamba alipewa jina jipya), ukamataji usiozingatia PGO wakati kila siku tunaambiwa tutii sheria bila shuruti.., muda wa mtu kuchukuliwa maelezo etc etc
 
🤔
 
Akiba ipi?? Kwamba it's obvious sheria itapindishwa au kuna ushahidi concrete so far?
 

You are a fool!! Unadhani Mbowe alikuwa tayari amemuajiri? Kumbuka hili - Mbowe hakuwafahamu watu hawa. Aliomba kuletewa watu ili afanye usahili na hilo halikutimia.

Idadi kubwa ya watu wasiokuwa na analytical capabilities ndio shida kubwa ya nchi hii. Huenda Mbowe hana uwezo wa kuongoza nchi lakini kwa hakika wewe ni wale wapiga kura wa hovyo ambao hudanganywa maji maji na miaka 30 inapita hawajaona hata tone!!
 
Huenda anatokea kwenye lile genge la MAZUZU alilolisema CAG mstaafu
 
Shahidi: Uliza Maswali Sensible Bwana

Mawakili wa Utetezi Wote wananyanyuka

KIBATALA: No No No No Kaeni Mwacheni


Sijaelewa hapa kwanini Hawa mawakili walisimama? Walimaanisha nini?
Waliona shahidi Hana uwezo Tena wa kuendelea na pambano alikuwa Kisha changanya oil na maji KO ya nguvu ikabidi utu uwasukume kumuokoa.
 

A: Waliokamatwa kwa kupanga ugaidi na kukiri kwa ridhaa yao wenyewe:

1. Hawakukamatwa na chochote cha kufanyia ugaidi.
2. Hawakuonyesha malipo yoyote kwa ajili ya jukumu hilo.

B: Luteni Urio aliyefichua hii njama ndiye aliyewalipia nauli 21,000/= watu wawili kwenda Moshi tokea Chalinze. Labda ili wasafiri kwa lori.

C: Hati ya mashtaka wanashtakiwa kwa makosa ya kigaidi waliyopanga May 2020, lakini Kingai anakiri Adamoo alikwenda Moshi 26/7/2020 akiwa hajui lolote kuhusu njama hii ya ugaidi.

D: Hoja zilizoelekezwa kuulizwa kwenye mahakama hii kutokea kwenye kesi ya kikatiba namba 21 ya Mwaka 2021 kwamba si kwingineko, nazo zimezipigwa mpira na mahakama hii sasa kuelekea kusikojulikana.

E: Rasmi sasa Moses Lijenje au bwana Kakobe alichinjiwa baharini na kina Kingai. Kumbe ndiyo maana Jaji Siyani wala hakuhitaji aletwe. Mchezo mzima aliujua.

F: Nguo mpya kumbe ni incentives kwa mtu kufanya ugaidi.

G: Adamoo aijue au awe na taarifa ya IMEI ya simu yake at hand kwa sababu gani? Mbona Kingai hata sasa hivi hana?

Yasemekana mkuu wa gereza Ukonga naye kaona fursa kwenye hii kesi.



Kwamba muapishwa huyu wa jiwe ndiye atakuwa tofauti?

Muda si mwingi utasema.
 
Mkuu maneno yako nayatimie kama ulivonena hapa..namwona shahidi Kingai ukiicheki sura yake...laana inamnyemelea sana Maana akilala usiku nafsi Lazma inamsuta sana. Leo akihojiwa na Kibatala angalia reply yake alipoteana sana!!
 
Mashahidi wa serikali wanaonrsha kuwa hii ni kesi ya kutunga.Hata rais naye kaambiwa Mbowe kaenda nje ili kukwepa kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…