Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Wakata mkaa eti wwnasababisha nchi isitawalike kwa mujibu wa kingai
 
Wewe ni mnafiki sana, comment yako ya mwanzo umeisahau mara hii? Ngoja nikukumbushe mwanzo umeandika hivi ... "hii kesi imemkalia vibaya mwamba...."

Hapo juu unauliza huna uhakika kama huu ushahidi ni wa ukweli au wa uongo, Sasa kilichokufanya uandike kesi imemkalia vibaya mbowe ninini? Acha unafiki!
 
Acha mihemko, mmeshikilia mtuhumiwa muda wote huo, mmekamata moshi mkampeleka mpaka Dar, halafu baadae mnakuja na ushahidi wa maneno yaliyoandikwa eti ndio maelezo aliyotoa mtuhumiwa.

Ninini hasa kitatufanya tuamini huo ushahidi ni kweli umetolewa na mtuhumiwa? na Je hajateswa na kulazimishwa kusaini hayo maelezo?

Mawakili wanawauliza maswali ya msingi, lakini kwa uzuzu wenu mmeshindwa kuelewa lengo la maswali hayo, kwa mwenendo wa kesi nzima, mbowe alitakiwa kuwa mshtakiwa namba moja, je ni kwanini si mshtakiwa namba moja?

Mnadai hamkumkakata sababu upelelezi juu yake ulikuwa haujakamilika, je upelelezi juu ya hawa wengine ulikamilika lini hadi wakakamatwa? Na kama upelelezi juu ya watuhumiwa watatu ilikuwa umekamilika, huyu mliyemuacha nje anazurura hadi anaenda nje ya nchi ni upelelezi wa aina gani mlikuwa mnaufanya juu yake, ambapo matokeo ya upelelezi huo ni yapi (ushahidi) yakawafanya mumkamate? Eleweni maswali ya mawakili yanalenga kutoa picha gani.

Kama maswali hayo ni magumu achana nayo usinijibu kimihemko na hoja za kiuvccm.
 
Mbona mnahaha sana? Huyu ndiyo kwanza shahidi wa 1 upande wa serikali, kuna wengine 19 wanakuja, subirini!!
Sasa kama shahidi wa kwanza anayetarajiwa kupigilia msumari katika kesi ushahidi wake ni huo wa kakipande cha karatasi, amekiri kabisa hana Fingerprints, wala DNA, hao mashahidi wengine 18 watakuja na vielelezi gani kama sio kutupotezea muda tu?

Pelekeni kesi haraka mtoe hukumu acheni kutupotezea muda. Mpelelezi mwaka mzima unakuja na kielelezo hiki kama ushahidi? oneni aibu!
 
Ni kweli majaji hawahaminiki lakini hata wakiibeba jamhuri kiasi gani wakati mwingine mbeleko lazima ichanike tu.
Waibebe tu kama walivyoagizwa lakini wafahamu tu kuwa wako uchi wa mnyama pale sanamu la askari na kila mtanzania anawaangalia.
 
Hayo yalipaswa kua miongoni mwa maswali yanayoulizwa na mawakili wa utetezi.Cha ajabu maswali wanayo uliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…