Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Nchi igawanyike kwa lipi? Alishindwa kuigawa nchi Lowassa 2015 ije kuwa leo? Hakuna takataka yeyote TZ hii anaweza kusababisha nchi igawanyike
Mavi yako! Lowasa alimpiga magufuli kwa mbaali mno! Nchi ya mikondoo shukuruni tu!
 
Ameuwa watu wengi sana
Mkuu usitoe ubinadamu kisa hela unayo pata hapo Lumumba.Kumbuka Mungu ni wetu sote ,Magufuli alikuwa anatamani wabaya wake wafe haraka alikufa kifo cha aibu kabla yao.

Ukishuhudia uongo kwa mwenzio ni laazima laaana itakuandama .Usishangae kwenu familia yako,ukoo wako na hata kwenye chama chako yakaanza kabla ya MBOWE ,!

Ipo siku isiyo na jina utakumbuka haya maneno.Walikuwepo wengi wanaojitoa ufahamu kwa ajili ya chama wameishia kuwa na laaana.

Makonda Paul alikuwa zaidi yako
Sabaya alikuwa zaidi yako
Magufuli alikuwa zaidi yako
 
Ukiangalia hata ile kesi ndogo ni basi tu wanaona Aibu kuifuta hii kesi, hii kesi ya kubambikia imebuma lakini watamfunga mbowe miaka mitano kumnusuru Samia na Aibu.
 
Yaani kina Kasekwa walikubali kufanya Ugaidi (UGAIDI) bila kujua watalipwa kiasi gani? Sijawahi kuona magaidi wapumbavu kama hawa ambao wako tayari kushindia mihogo kwa Dada yao ili wamfurahishe mwajiri waliyefamiana muda mfupi.
Mbona makubaliano ya kazi hayasemwi? Walianza kazi bila mapatano? Ni mataahira?
 
What if yanayoongelewa hapa yote ni ya kweli .?
Mfano tu
 
Napata tabu kuamini Tanzania kwamba kuna ugaidi wakati sijawahi kusikia hata bomu au puto likipasuka
 
Pole sana. Hakuna ajira iliotolewa na Mbowe, ni maelezo yalio tungwa ili kuianzisha hii case. Urio sio polisi, kwenye case hii anapewa kazi ya kurecruet walinzi (magaigi?)
 
Ni hulka ya sisi binadamu kujifariji hata mambo yanapokuwa magumu. Ukweli ni kuwa kesi hii ni mbaya kwa Mbowe. Kwa ushahidi huu kuchomoka ni ngumu.
 
Policeccm ni waliofeli frm 4,yani hawajawahi kua na akili na haitatokea wawe na akili,watu wanaishi kwenye mabanda ya bati na bata zao...ni watu wenye roho mbaya,wachafu,wauaji,wezi,majambazi
 
Hao ni wale uvccm njaa team mcherengwa,wanaoishi kwa kuombaomba
 
Mimi kesi ya ugaidi bado sijaiona hapo, labda kuzuru sabaya kulingana na mtililiko wa ushaidi, pia uhujumu uchumi kote sijaona maana hata ushahidi na maelezo yameegemea kumdhuru sabaya.
 
Kesi mahakamani haiendeshwi kama watu wako sokoni au kijiwe cha kahawa. Zipo taratibu maalum ambazo watu wamesomea na wana uzoefu nazo.

Huwezi kuuliza mambo ya kuhitimisha kesi mwanzo wa kesi, huwezi kumuuliza shaihidi mambo ambayo ni "opinions", upo wakati ambapo jaji atahitaji kusikia kutoka pande zote na pia pande zote watawasilisha kwa maandishi sababu za mtuhumiwa kuhukimwa au kuachiliwa kutokana na mwenendo mzima wa kesi na rejea za kesi nyingine. Fahamu haki haipatikani kwa urahisi kama unavyofikiri ndio maana hata watu wasio na makosa wako mahubusu kwa miaka.
Hayo yalipaswa kua miongoni mwa maswali yanayoulizwa na mawakili wa utetezi.Cha ajabu maswali wanayo uliza
 
Nikweli Tony Blair tumemkodi kwenye covid kwann pamoja nayote bila kuathiri mengine asimwambie mama achana nambowe mfungulie unatoa aibu ,kagame mama alivokuja Basi ukaamua umwingize mkenge kuhusu mshauri wako wa uchumi nambamoja
 
Ni hulka ya sisi binadamu kujifariji hata mambo yanapokuwa magumu. Ukweli ni kuwa kesi hii ni mbaya kwa Mbowe. Kwa ushahidi huu kuchomoka ni ngumu.
Kesi Ikiwa mbaya na Mbowe akifungwa ni furaha kwako na familia yako .MUNGU atakuwa amejibu maombi yako.Familia yako itaishi vizuri ,familia yako haitokaa ihangaike ki uchumi Wala kiafya maana mbaya na mchawi MBOWE aliyekuwa anazuia ajira ,aliyekuwa anazuia maisha Bora atakuwa amefungwa.
 
Kwani Viongozi wa Chadema walipofungwa na hatimaye Watanzania tukachanga 350 millions ili kuwatoa lupango wale waliotoa ushahidi wa kuwabambikia hatia waliahidiwa nini!?
Hakuna kesi hapo Mkuu ni udhalimu wa maccm na hii Serikali haramu ili kuhakikisha mjadala wa Katiba mpya na Tume huru unapotea nchini.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…