Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Mungu ni Mkuu sana...
Taratiibuuu kesi imejihamisha yenyewe kutoka kuwa kesi ya ugaidi na utakatishaji fedha NA KUWA TUHUMA ZA KUTAKA KUMDHURU SABAYA!

NB: Kingai na Sabaya wanajua vizuri walikoichonga hii kesi isiyo na mashiko!
Kumbe ndo maana Kingai hakuwajibika wala kuripoti kwa viongozi wake wengine wala Kamati za usalama!

Aibu!! Wanayojaribu kumfanyia Mbowe ni aibu kwa taifa!
 
Komandoo anakua discharged kwa mafao ya 4.6M
 
Usipanick , nyie ndiyo mmekuwa mkituhubiri kuwa haki huiponya taifa. Ndiyo hivyo gaidi akihukumiwa taifa tutapona dhidi ya maovu yote ya kigaidi. Biashara au afya inaweza kuteketezwa muda wowote na gaidi. Hakuna afya njema, biashara nzuri wala kazi nzuri gaidi akiingia mtaani
 
Yaani kina Kasekwa walikubali kufanya Ugaidi (UGAIDI) bila kujua watalipwa kiasi gani? Sijawahi kuona magaidi wapumbavu kama hawa ambao wako tayari kushindia mihogo kwa Dada yao ili wamfurahishe mwajiri waliyefamiana muda mfupi.
Walijua Mbowe akiwa rais watakula raha. Maumivu kwanza matunda baadae
 
HUYU LEO KAWA DCI, HII NI INSULT TO TANZANIAN PEOPLE. MAMA SAMIA HAPA UMEDANGANYWA. LITAFAKARI TENA UPYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…