Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Da Gladiator

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
1,641
Reaction score
2,646
Kwanza nijitambulishe, mimi ni Simba Sc fun, naipenda Simba Sc to the Climax/Fullest. Leo ni kilele cha wiki ya mwananchi, uwanja wa Mkapa, nimefungua uzi maana naona dalili mbaya, nawaonea huruma wana yanga, Leo wanakwenda kuaibika, unajua kwanini!

1. Unajua siku zote wanaoujaza uwanja katika mechi za Dar Young Africans ni Simba Sc ndio huwa tunawasaidia kuujaza uwanja, lakini kwa masikitiko Leo tunajambo letu Arusha, hivyo hamtapata watu.

2.Washabiki wengi wa vilabu vya Simba Sc na Dar Young Africans ni wanasiasa na wasanii, mfano Mo, Jk, Mwigulu,Diamond, Harmonize, Mboto, JB, Nandy, Piere Liquid. Mbaya zaidi kipindi hiki wapo bize na kampeni, hivyo hawahamasishi na wala hawatahudhuria.

Karibuni,

Kapicha nimeweka, ilikuwa 11:04Hrs.
 
Aheri umewasaidia kuleta updates mana wenyewe ni waoga huwa hawajiamini kabisa kuanzisha uzi wa team yao watakuja hapa ikiwa tu watashinda.

Na leo yanga wanakufa warundi hawawezi kubali kufungwa na team zote mbili za bongo wapeleke aibu kwao hivyo leo wananchi wajiandae kwa maumivu wakati huo sisi tukishangilia kikombe cha kwanza huko Arusha.
 
nyinyi jishauweni katikeni viuno ila goli saba zinawasubiri hapo hapo kwa mkapa
 
Ivi kwanini Yanga wazembewazembe ?! Uzi hawaanzi, Jezi hawanunui( Gsm analalama, stock ya last season imejaa), Jezi mpya hawajaleta, wazito sana hivi kwa mfumo mpya wa ticketing watafika ata 30,000 uwanjani ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…