Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Kitendo tu cha kuandika kwa herufi kubwa kinaonyesha unachokiandika hukiamini hata wewe na ndio maana unajaribu kutumia nguvu ya ziada (unapiga makelele)
 
Unajua maana ya Holding midfield kweli au umeongea tu
 
Unajitahidi kuelezea hata vitu usivyo vijua, ko pogba ni holding midfielder?
Mkoko sio holding midfielder .
 
Mkuu kama una ushsidi na haya yote unayoandika peleka kesi mahakamani hawa jamaa wachukuliwe hatua.
 
Simba kwa hii mipasho waanzishe na bendi ya Taarabu pale, kiongozi wao Manara..
 
Mkuu Tuisila ni mzuri, ila Molinga na Tshishimbi nadhani walitakiwa wabaki, sioni future ya Sapong na Mukoko.
Tatizo la Tshishimbi alikuwa hana utulivu, halafu hakai kwenye njia za mpira. Wakati Mukoko yeye anatulia na anakaa kwenye njia za mpira. Kuhusu Molinga alikuwa mzito mno huwezi linganisha na movement anazofanya Sarpong, huyu jamaa ni natural striker. Kwa kweli wamejitahidi sana hasa ukizingatia kipindi walichofanya mazoezi ni kipindi kifupi. Halafu sehemu kubwa ya wachezaji wa nje ligi zao zilikuwa zimesimama kwa muda wa zaidi ya miezi 4. Ila wasiwasi wangu upo kwa Waziri Junior naona kama bado haamini kuwa yupo Yanga. Hii timu ikikaa pamoja for some time itatoa upinzani wa kweli sio sawa na ile ya mwaka uliopita.
 
Unajiliwaza tu,hao wachezaji ni wazuri sanaaaaa! Kama umewapenda hao unaowataka kanywe nao chai. Wananchi tushaamua!
Hizi tabia za kuwachambua wachezaji kishabiki zinawaumbua sana watu. Morisson walimtukana wee kuwa hajui mpira na ni mwizi wa naniliu. Leo hii wanamwimba kwa misifa kibao kuliko hata huyo Mwamba wa Lusaka.
 
Leo mukoko kajificha kwenye kivuli cha fei toto, maana fei alikuwa wa moto sana km alivyokuwa mwisho msimu, ngoja mukoko tumuone kuanzia j2 ijayo na prison
Ndo Yale Yale ya kushikiwa Akili,umeona kabandiko Fulani mtu kaandika hivyo na wewe unakuja kutuambia hivyo. Yule Serge Mukoko Tonombe ni kiungo mzuri sana!!
 
Unajitahidi kuelezea hata vitu usivyo vijua, ko pogba ni holding midfielder?
Mkoko sio holding midfielder .
Huyo jamaa ni habari nyingine. Ni difensive mido ila anaweza aka ofa hata holding!
 
naona wewe utakua ni mjamzito mimba ina kusumbua, kwani baba yako alikatazwa kua fisadi, acha kushobokea watu ambao hata auwezi lingana nao
 
naona wewe utakua ni mjamzito mimba ina kusumbua, kwani baba yako alikatazwa kua fisadi, acha kushobokea watu ambao hata auwezi lingana nao
We binti mbona una kiherehere maana kila kitu kurukia hata califonia hujui kuandika na hutaweza kupata kizazi kwa jinsi unavyochoropoa mimba
 
naona wewe utakua ni mjamzito mimba ina kusumbua, kwani baba yako alikatazwa kua fisadi, acha kushobokea watu ambao hata auwezi lingana nao
Wa juzi huyo hajui kuwa metl walisha tulisha mchele mbovu hapa
 
Hizi tabia za kuwachambua wachezaji kishabiki zinawaumbua sana watu. Morisson walimtukana wee kuwa hajui mpira na ni mwizi wa naniliu. Leo hii wanamwimba kwa misifa kibao kuliko hata huyo Mwamba wa Lusaka.
Tafadhali mkuu, usimguse CCC, sio vyema.
 
Yule mzee yusuph si karudi au mnasahau alikuwa kiongozi wenu mwambieni awatungie nyimbo
Huu ni uchawi ukiwa bado kijana, wachawi hawapendi siku zote maendeleo ya wengine, mnatafuta kila namna kuondoa furaha ya wanajangwani lakini Mungu mkubwa hamtafanikiwa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…