Hawaeleweki kabisa. Bora wewe umeonaMa MC ni wengi wanakorogana hawana mawasiliano
Namba 33.
Barua waliandika kwa Kiswahili.Au Wananchi tusubiri mpaka Rufaa yetu CAS waisikilize ndiyo tumchezeshe Morrison?
Wanaangalia mechi ya Msimbazi.Wananchi wamekimbia uzi au wapo SAK
Kachoka hoiiiSimba na Yanga burudani sanaa Konde Boy ana tambaa kwenye kambaa.............
.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Harmonize yupo hoi
Ha ha ha, ili tu kuonesha utofauti kama si ujingaYani kuiga kwingi mwisho wake ni aibu! Commando gani anayetembea huku anapumzika [emoji23][emoji23]
kama ilivyo wasemeji wa timu. mpaka admin wa group ni msemajiMa MC ni wengi wanakorogana hawana mawasiliano
Timu moja wasemaji shazikama ilivyo wasemeji wa timu. mpaka admin wa group ni msemaji
Upepo umekata anaonekana kakamia alafu anaimba huku anakimbia lazima pumzi ikate.Kachoka hoiii
Yani kuiga kwingi mwisho wake ni aibu! Commando gani anayetembea huku anapumzika [emoji23][emoji23]
Ha ha ha.Amekabwa kule juu, na kujamba amejamba nimeskia harufu! Sasa isije kuwa kaharibu kabisa maana tembea yake inatia shaka...