Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Jambo lipi, pafotmance ya kiboyaWananchiiii tuna jambo letuuuu
Wananchiiii tuna jambo letuuuu
Yanga wamtambulisha Morrison, BM3.
Waoumbafu sana.Labda wametengeneza wa kwao manake huyu ninayemjua Mimi ameshabeba Ngao Arusha
#wapumbafu sana.Labda wametengeneza wa kwao manake huyu ninayemjua Mimi ameshabeba Ngao Arusha
Utopolo kwenye ubora wakeView attachment 1552983
hawa ndo wanaenda FIFA hawa?
Katoka hoi, hatarudiaHarmonize katia aibu kwa kweli, mi nilitegemea alivyokuja ndo atakavyo ondoka
Kumbe hakudondoka?Kidogo adondoke.
JK aambiwe mechi ni saa 1 hivi sasa ni saa 1:02Mh kikwete anaonhea. Jukwaani
Pia waache kumshupalia BM3nimependa hotuba ya JK. anasema waache kuokoteza makocha
Utawaweza wanasiasa. Amepenya pia kampeni kiujanja.JK aambiwe mechi ni saa 1 hivi sasa ni saa 1:02
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]