Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Hahaa we uko dunia ya wapi,hadi watu wamezuiliwa kuingia huku, uwanja umejaa hadi unatapika. Kule Arusha kwa simba ndo kumedoda
 
Yanga tumeanza kula alafu ndio tukanawa,baada ya kunawa alafu ndio tule.

Ingetakiwa aanze kocha alafu kocha yy ndiye afanye usajili,sio baadae timu inafanya vibaya tunaanza kumlaumu kocha tuombee tu wachezaji wafiti na mfumo wa kocha.
 
Few will understand.
 
Hahaa we uko dunia ya wapi,hadi watu wamezuiliwa kuingia huku, uwanja umejaa hadi unatapika. Kule Arusha kwa simba ndo kumedoda
Viwanja vyote viwili?
 
Hawa watacheza muda gani na saa moja ndio hii?

Ngoja tanesco wakate umeme sijui watacheza huku wamebana tochi mdomoni
 
Kweli leo kuna watu wanaumia sana, kimsingi mjiandae kama tuliwabana pumzi tukiwa mahututi sasa mtapigana wenyewe kwa wenyewe badala ya kung'oa viti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…