OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nimemuonea huruma Homonizer. sijui nani alimpa hii idea ya kisenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mjini,Hahaa we uko dunia ya wapi,hadi watu wamezuiliwa kuingia huku, uwanja umejaa hadi unatapika. Kule Arusha kwa simba ndo kumedoda
Ndo harmonize huyu ?!
Few will understand.Yanga tumeanza kula alafu ndio tukanawa,baada ya kunawa alafu ndio tule.
Ingetakiwa aanze kocha alafu kocha yy ndiye afanye usajili,sio baadae timu inafanya vibaya tunaanza kumlaumu kocha tuombee tu wachezaji wafiti na mfumo wa kocha.
Daaaah bongo ni mwishoAmekabwa kule juu, na kujamba amejamba nimeskia harufu! Sasa isije kuwa kaharibu kabisa maana tembea yake inatia shaka...
Daah wanabahati yule faza hajui kiswahilinimependa hotuba ya JK. anasema waache kuokoteza makocha
Naona chopa liko kwa hewa linatafuta pakutua
Huyu mbona inaeleweka alienda kufanya show ya kampeninimemuonea huruma Homonizer. sijui nani alimpa hii idea ya kisenge
Hahhahah Konde Boiiiii
Viwanja vyote viwili?Hahaa we uko dunia ya wapi,hadi watu wamezuiliwa kuingia huku, uwanja umejaa hadi unatapika. Kule Arusha kwa simba ndo kumedoda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mzee wetu ajiangalie atakuwa hapati mwaliko kwa akili za uto zilivyonimependa hotuba ya JK. anasema waache kuokoteza makocha