Yaliyojiri kilele cha wiki ya mwananchi uwanja wa Mkapa

Mkuu Tuisila ni mzuri, ila Molinga na Tshishimbi nadhani walitakiwa wabaki, sioni future ya Sapong na Mukoko.
 
Mkuu Tuisila ni mzuri, ila Molinga na Tshishimbi nadhani walitakiwa wabaki, sioni future ya Sapong na Mukoko.
Wewe sidhani kama hata huo MPIRA unaujua sidhani yaan, nasisitiza sidhani kama unaujua hata mpira ww. YAAN MUKOKO huoni future yake? Unataka kusema Tshishimbi anaweza mweka benchi MUKOKO.. KWA NILIVYOMUONA TZ NZIMA HAKUNA HOLDING MIDFIELD KAMA MUKOKO, NARUDIA HAKUNA HOLDING MIDFIELD KAMA MUKOKO, HAO SIJUI AKINA MKUDE, SIJUI FRAGA HAWAMFIKII HATA NUSU HUYO JAMAA.
UKICHAMBUA MPIRA KIUSHABIKI NI SHIDA SANA. SAPORNG ana NGUVU, ANA DRIBLE VIZURI, ANA SPEED BADO UNASEMA HAJUI? HAINA HAYA TUENDELEE KUCHAMBUA MPIRA KAMA TUNA UCHIZI WA KIWANGO HIKI.
 
Mukoko hajui mpira, Sapong mcheza mieleka, waziri mkimbia riadha. Kisinda ndo mchezaji. Yule mreno anajua ila mpira wa bongo utamshinda.
 
Pole sana kwa mateso makali unayoyapitia bila sababu za msingi
 
Unajiliwaza tu,hao wachezaji ni wazuri sanaaaaa! Kama umewapenda hao unaowataka kanywe nao chai. Wananchi tushaamua!
Mkuu unabisha, Faridi, Gift, Kisinda, Ninja, na Mwamnyeto ndo mmesajili ila hao wengine. Hamna kitu
 
Mukoko hajui mpira, Sapong mcheza mieleka, waziri mkimbia riadha. Kisinda ndo mchezaji. Yule mreno anajua ila mpira wa bongo utamshinda.
Ww mpira ama hujaangalia au HUJUI.. we unadhani aliyekuwa anakichafua kati pale chini ya FEI TOTO ni MKUDE? Basi yule ndio MUKOKO na ni HOLDING MIDFIELDER anadrible, ana stamina hata accuracy ya pasi zake leo nadhani kwenye 85% to 90%. Unadhani kiungo wa chini anakuwa na udambwi dambwi mwiiiiiingi basi hapa hata ukifatilia wale viungo wa chini bora unakuta hawana mambo mengi kama unavyodhania ww boya usiyejua mpira, Ushawahi muona POGBA anavyocheza akiwa chini? Basi ndio kaliba ile ya MUKOKO na akisogea ana nguvu ya kupiga shuti za kibabe ambazo kama ujuavyo MANULA HAWEZI DAKA.
 
Leo mukoko kajificha kwenye kivuli cha fei toto, maana fei alikuwa wa moto sana km alivyokuwa mwisho msimu, ngoja mukoko tumuone kuanzia j2 ijayo na prison
 
Leo mukoko kajificha kwenye kivuli cha fei toto, maana fei alikuwa wa moto sana km alivyokuwa mwisho msimu, ngoja mukoko tumuone kuanzia j2 ijayo na prison
Pia kumbuka walikuwa wana ReD
 
Hizo asilimia unaziandika tu hovyo hovyo, unamjua Mkude 'Nungunungu' vizuri ?!
 
Ila nimesikitika sana kwani wanaojiita wananchi kiukweli sio wananchi bali ni kundi kubwa la uneducated linalotumiwa na watu kama rostam, gharib na manji ambao walikuwa na bado mafisadi papa waliofisadi pesa za wavuja jasho wanaonekana mashujaa kisa ni washabiki wa yanga.
Manji na Gharib wakati wa serikali ya awamu ya nne walifanya watakavyo na kukwepa kodi na hakuna asiyejua uhusika wa rostam kwenye kashifa ya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…