Yaliyojiri: Klabu bingwa ya Aafrica: Yanga vs Zanako

Hilo ndo soka ndala, hii inadhidi kudhihirisha ubovu wa waamzi na ligi yetu kiujumla.Matoke haya ni 2 kwa moja,kwa wazee hawa wa ndala Mungu tu afanye yake Zambia.
 
huenda akamkaria mnyama ambaye kafika nane bora kilabu bingwa africa kacheza fainali kombe la CAF kamvua ubingwa EL -AHALI ni timu pekee inayoogopeka africa inayotoka africa mashariki
 
Yanga bwana...toka tupate uhuru Misukule yao (mashabiki) bado hawajitambui tu. Jamani mpira siyo magazetini bali ni dakika 90 uwanjani. Yanga si timu ya kuifuatilia kimataifa, wao ni sare au kipigo cha mwizi ugenini ndiyo dizaini yao. Hata siku moja Yanga haiwezi kufika mbali katika mashindano ya kimataifa, I say never. Watakwenda Zambia na makapu ya kuokoa magoli na watarudi na visingizo kibao. Poleni misukule yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…