Yanga bwana...toka tupate uhuru Misukule yao (mashabiki) bado hawajitambui tu. Jamani mpira siyo magazetini bali ni dakika 90 uwanjani. Yanga si timu ya kuifuatilia kimataifa, wao ni sare au kipigo cha mwizi ugenini ndiyo dizaini yao. Hata siku moja Yanga haiwezi kufika mbali katika mashindano ya kimataifa, I say never. Watakwenda Zambia na makapu ya kuokoa magoli na watarudi na visingizo kibao. Poleni misukule yao.