Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

Hakika nmekuona unaongozwa na akili za zamani wewe. 2015 yenyewe Magufuli kaongoza sembuse na Mwaka huu??? Are you normal mentally?
 
Mtaelewa tu tunavyomanisha sisi watu wa kigoma hatuna urafiki wa kidumu na Yeyote
Zamani Zitto tulimwamini sana ila kwa sasa ashakengeuka na kuwa wakala wa Mabeberu
 
Dr. Bashiru alisema kama waona donge si nanyi mtumie...
Huyo huyo Bashiru alisema CCM haitatumia wasanii tena TOT inatosha...Muulize leo imekuwaje? Bila wasanii na malori ingekua aibu..endeleeni kuwapa raha ya Fiesta watanzania maana miaka mitano yote hii wamekua wanyonge na wasio na furaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…