Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

kuna wimbo mmoja wa msanii anaitwa hk ft dully skys unaitw birth day nani anaukumbuka
 
Mpambano uko instagram.....kila mtu amemuwish baby ruge hbd. Madongo yanarushwa na wahusika huku washabiki wa team zote wakishabikia....ray c amesema he (ruge) will always be mine na zama anajidanganya tu, Zamaradi amesema you are my everything, na mama jordan kasema wana miaka 9 na anamshukuru Mungu kwa kimuumba ruge
 
sasa hapo nani mmiliki halali wa mali mana kila mtu na lake mh pana kazi kweli hapo ngoma nzito wanafight kwa ajili ya mchepuko mmoja
 
sasa hapo nani mmiliki halali wa mali mana kila mtu na lake mh pana kazi kweli hapo ngoma nzito wanafight kwa ajili ya mchepuko mmoja

Mmililki halali ni Mama Ruge, Hao wengine wanagombea ndizi na mgomba si wao!
Mwenzao alihenyeka Labor kwa uchungu siku kama hiyo, wao wanajishaua tu huko insta.....na kwa akili hizo atawapanga mpaka Morogoro.....kama Kenya vile....full mbanano hahahaaaaaaa!
 
*****"" zao wangekuwa wanajielewa wasingepangishwa folen kisa ela, mm ufala huu ndio siufanyag kwa maisha yangu nikishaona dalili za kupangishwa folen najitoa mapema sana..

Shikamooooo pesa.........!

Marhabaaaaaaa masikiniiiiii......!

Angekuwa kapuku asingegombaniwa.
 
Mmiliki halali ni mama Jordan maana ye ndo kajiamini kamrusha hadi J analishwa keki na dady ake, hao wezi wangejiamini wangerusha selfie zao wakiwa na mzee wa fursa lol!
 
Labda kweli sijui kwa zama na ray
 
Attachments

  • 1399008866694.jpg
    1399008866694.jpg
    46.4 KB · Views: 9,213
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom