Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Mbona natetemeka utazani na mm ni msanii nasubiri tuzoo
 
Ben Paul siku hizi sijui kawaje. Hayuko normal anatetetmeka flani hvi aachane na sembe atapotea.

Umeona eeh? Yaani anajiharibu kama nini.Basi mdogo wangu anampendaga kasikitika balaa!
 
Yaani ballantine haishuki ngoja niongeze limao na ice aiseeh
 
clouds wamekata saut kote. itv nao cjui wanafnya nin nmekaa kuwasubir awaelewek


ITV wana mambo ya msingi ya kuripoti.

Clous media na Azam Tv ndiyo level za kuwa platform ya hayo maigizo ya KTMA.
 
#TEAM Diamond tutakuwa pamoja kuhakikisha uchakachuaji wa kupendeleana au kubebana tunaukemea...Kama kuna haki Diamond atatoka na tuzo nyingi kuliko msanii mwingine yoyote

Kama nyie mlivyochakachua mwaka jana, rudishen kwanza za belle.9 na barnaba
 
Hayaaaa shughuli imeanza rasmi sasa.Zile mbwembwe za red carpet zimeisha.
 
Pia clouds walishatangaza kuwa wataonesha live.
Mimi hua napenda kuangalia kupitia clouds zaidi kuliko ITV maana huwa wako clear zaidi.

Kuhusu Bella nilikua sijui, asante kwa kuongezea nyama.

Nifah,unongea ushabiki au unatumia macho..cloudz ipo clear kuliko ITV?!!hacha sanaa bhana!clouds wabovu vile tv resolution pixel tano!!!watanzania mbona mnakumbatia vitu kwa ushabiki maandazi!!
 
Hahahahaaa, ni Lady Haha huyo yule wa kipindi cha weekend sijui nini kwenye clouds tv.

Utangazaji wake huwa haunivutii kabisa huyu Dada tena ukute ana chaganya lugha ina bore ka nini?
 
Nifah,unongea ushabiki au unatumia macho..cloudz ipo clear kuliko ITV?!!hacha sanaa bhana!clouds wabovu vile tv resolution pixel tano!!!watanzania mbona mnakumbatia vitu kwa ushabiki maandazi!!

Hayo ni maoni yangu mkuu, nawe ungesema yako pia.
Mimi kwangu ndio ninayoonaga nzuri kiukweli.
Ngoja tuone na leo...
 
Back
Top Bottom