Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Diva Beyonce last year tulijitoa kizalendo tukasema tumtoe mshikaji alivipata zile tuzo akatuona mbulula mara kwenye tuzo za watu anaziita tuzo za vichochoroni kama anaita nchi yake uchochoro kwanini na sababu gani nimpigie kura wakati mimi naishi kixhochoroni?

Jamani, ifike sehemu hata kama ni utajiri jua pesa tunatoa sisi unapolipwa milioni 20 ni kwasababu public tumekukubali sasa ukixhezea bublic itakupeleka chini na hutakaa uamke sasa tunaendelea mbona tutaheshimiana tu kama tuliweza kukuweka hapo why tushindwe kukushusha????
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana Mkuu. Hapo kwenye rangi nami ndipo panaponikosesha raha sana, kosa lake ni lipi hasa mpaka watu wamchukie kiasi hiki!?

KIJICHO ndiyo key word.
Ana sauti nzuri, ni mbunifu, anajua kucheza, anaingiza pesa nyingi,wanawake wanmpenda kwa sauti na nyimbo zake nzuri. Aibu sana mambo tunayofanya. Kwangu bado ni mshindi
 
Reactions: BAK
Guys mbona watu wana Jazba kiasi hiki humu, kumbukeni mwisho wa ubaya aibu. Na mkumbuke kitendo cha mondi kuwa nominated mtv ni ushindi pia na leo hii amekuwa shortlisted kwenye award nyingine ya mafanikio.
 
Wabongo tuna mambo ya ajabu... Ukitaka kujua tu Diamond mtanzania mwenzetu anapendwa hadi watu wanathubutu kutoa matusi kwa wanaomdis nenda tu hapo kenya... Shame on you diamond haters
 

Attachments

  • 1434314168604.jpg
    53.8 KB · Views: 105
Reactions: BAK
pakesi Kila mtu alimu support kiroho safi kabisa akazoa tuzo saba mwaka uu baada ya kuona ushindani mkubwa akaanza kuandika maneno ya shombo. Eti tuzo za kiupendeleo za vichochoroni na locals yeye AME focus kimataifa.

Hapo alitegemea nini na timu ikawa INA msupport na kumwambia watu wana chuki na wivu wanataka kumshusha. Team yake, badala waombe kura, wanaongea tu ataona mwenyewe asipojirekebisha na kuisikiliza hii timu yake inayoandika maneno ya kejeli.
 
Last edited by a moderator:
Wabongo gani wana mambo ya ajabu we we ni Msomali au. Acheni kupaniki life is too short to stress urself. Loh ka anapendwa mnahangaika nini kuponda wabongo.
 
Mayala masuka Mkuu kwani Diamond amfanya kolabo na wasanii wote Bongo? Sidhani, hii dhana ya bifu iko zaidi kwa mashabiki na wakiiruhusu ivuke mipaka watz tutachekwa. Cha msingi ni hawa jamaa waimbe pamoja mambo yaendelee
 
Last edited by a moderator:
Poor you maskini wetu yupi eti huruma my foot. We we ni tajiri mana argument zako tu zinaonyesha we we ndo maskini wa kiroho hadi kimwili. Heri yenu na domo ni matajiri eeeh

Hapa hatuzungumzii utajiri na umasikini wetu... Tunaongelea ubora wa kazi za wasanii hawa.. ALIKIBA & DIAMOND..
Jiulize nani kaanza zamani, nani hadi leo bado ana maisha duni.. Jiulize ni kwa nn... Najua unampenda moyoni ila unashindwa kukiri.. Karibu tena
 
Usichokijua ni kama usiku wa giza.bado ukweli hujajulikana wa yaliyosemwa mtoto wa kike unatapatapa! So ukimpigia davido anaewakilisha nigeria na kumwangusha chibu unapata faida gani kama mtanzania?

Kwan ukimpigia kura Diamond unapata faida gan kama Mtz zaidi ya stress za matusi tu akishinda??
 
Hahah, Naon hapa kuna mtu anapewa za uso. Mim ndio maana sinaga mateam. Naona jamaa kauli zake zina mgharimu sasa.
 
Mazigazi

Kenya my mama land, Nawasuport sautSOL. Sina chuki na dai wako, tatizo ni jinsi diehards fans wake wanavyotumia mpka matusi kisa kura. Je, nitajisikiaje nimempigia diamond kura lakini akishinda watu wanaleta uteam na kunitukana kisa c mpnzi Wa mziki wake

Narudia Mimi sio mzalendo na kura sipigi
 
Last edited by a moderator:

Kwanza nakupongeza kwa kudeclare your nationality

Acha na diehard fans wa dai focus kwa msanii mwenyewe coz ushabiki kokote kule huongoza na mihemko na hisia tu.

Kama wewe si mzalendo hili ni tatizo pia.
 
Kwanza nakupongeza kwa kudeclare your nationality

Acha na diehard fans wa dai focus kwa msanii mwenyewe coz ushabiki kokote kule huongoza na mihemko na hisia tu.

Kama wewe si mzalendo hili ni tatizo pia.

Nifocus kwa msanii mwenyewe

Alafu matusi yafocus kwa Mimi mwenyewe akishafanikiwa

Narudia tena kama kutokua mzalendo kwa dai ni dhambi Mimi nitaenda motoni na kuishi milele ndani ya moto
 

Watu wengi wenye chuki dhidi ya Diamond, ni wale aliowaacha kwenye rags when he moved to riches, now they can't deal seeing one of their own making progress while they're still stuck in there.

Ama kweli Tanzania tuna chuki, tena chuki za asili.

Natamani ifike sehemu tubadilishe attitude zetu juu ya utaifa wetu...kwanini nchi zingine wanapenda maitaifa yao na kussuport kitu ambacho kina Leta sifa na tiza ya kimataifa...

Why not in Tanzania? kwanini sisi tunashindwa kuwa Kama Watanzania..tunakuwa Fulani na Fulani? why not coming together? why not support our fellow.? utapungukiwa nini kwani?

Mtu muelewa atamsupport Diamond...Tuwekee uteam pembeni tutangaze bongoflavour, tuweke uteam pembeni tutangaze Tanzania.

Transcend...
 
mahaba yakizid watu hugeuka vipofu, wanakana hadi page ya kilimanjaro music awards . noma saana
 
Kwan ukimpigia kura Diamond unapata faida gan kama Mtz zaidi ya stress za matusi tu akishinda??
Mkuu kuna siku Diamond alipata tuzo akarudi kuwatukana watu wapi hiyo?

Team Diamond kwa hoja mnazotoa nnapata mashaka na elimu zenu
inaonekana we mkuu msomi embu nipe evidence ya hata link ili nijisomee matusi ya Dai nisije nikawa napiga kura halafu baadae nikaja kutukanwa.
 
Duh yaani bongo noma, wanachakachua kuanzia urais mpaka tuzo???
 


Nilifikiri unajenga alichobomoa Lemutz kumbe Una akili fupi na wewe...

Umeendelea kubomoa...tuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…