Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Tafuta namba mkuu.. Huyu anafaa sana kutuimbia kwenye zile private parties hahaha

Alisema mawasiliano yake yanasimamiwa na Manager wake.
Hivyo unaongea na manager kua unataka nini....mtakoma wakware maana naona macho yameshaanza kuwatoka.
 
sababu watu hawajalipishwa kiingilio nn..mc fety na Zembwela!
Ha ha ha haha! Hata mie mkuu nimeshangaa tangu lini zembwela kamudu kuwa mc bora hata huyo fetty lakini zembwela ataleta ufutuhi wake hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…