Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Inamaana hujamuona tu? Leo kavaa kituko kama kawaida yake.
Nilitoka kidogo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana hujamuona tu? Leo kavaa kituko kama kawaida yake.
We umeulizwa clouds,unakuja na ITV?
we shika adabu yako, shemeji yako huyo
Hahahahaaa, nitaachaje kuangalia red carpet nilivyo mbea? Hapa nina mafaili ya waliopendeza na waliochemka.
Tafuta namba mkuu.. Huyu anafaa sana kutuimbia kwenye zile private parties hahaha
Ha ha ha haha! Hata mie mkuu nimeshangaa tangu lini zembwela kamudu kuwa mc bora hata huyo fetty lakini zembwela ataleta ufutuhi wake hapa.sababu watu hawajalipishwa kiingilio nn..mc fety na Zembwela!
Hahahahaaa, mbona hukunishtuaga nikacheke?
Watu wengine wanapenda sifa za kijinga sana.
Fetty kapendeza sio mbaya...ila sijapenda Zembwela kuwa MC.
Natamani Mpoki angekuwepo nicheke!
Tafuta namba mkuu.. Huyu anafaa sana kutuimbia kwenye zile private parties hahaha
Fetty kapendeza sio mbaya...ila sijapenda Zembwela kuwa MC.
Natamani Mpoki angekuwepo nicheke!
Hata huku bukoba ni yaleyale
Leo kaonekana tofauti kabisa! Yes dogo anaimba naamini leo hawezi kukosa tuzo...Huyo dada anaitwa Ruby anaimba mnoooo
Huyo dada anaitwa Ruby anaimba mnoooo
hyu dada basi shes amaizing,kuna na yule mwingine wakuitwa maua samma,wanahua sana.Huyo dada anaitwa Ruby anaimba mnoooo
Huyu Dada anayeimba sasa hv ni nani wadau..ana sauti nzuri!
Domo anaingia na wema sepetu sijui yule mganda wamemwagana