Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kuna mtu katudanganya humu kuwa mpoki na mc pilipili ndio mc wa Leo mbona ni wengine,?
 
* Haahaaa leo sisi ndio tunaonekana wezi...wakati tuzo zenu zimebishaniwa na watu wa makundi mengi.

* Kwahiyo mnataka kuchakachua na leo....

Hata nyie mlipoiba mwaka jana za barnaba na belle 9 watu wengi walihoji ila.mkasepa nazo. Mkaiba tena channel o makundi mbalimbali yakapinga hasa kule mnakowekeza makolabo. Leo wasanii wamesema hapana lazima kugawana. Leo hamchakachui ng'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…