Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Sawa tumeshajua kuwa uko bukoba,
Haaaaaaaaa we mmawia hujatulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tumeshajua kuwa uko bukoba,
Mbona sauti inazingua?halafu inastack stack tu?au ni MB zangu chache labda
Hahahahaaa, ipo siku nitauona.
kumbe! anajua kwa kweli...hata wimbo wake naupenda sana...ana sauti nzuri huyo Dada.
Kwahiyo kama nimekuja na Itv we shida yako nini
hyu dada basi shes amaizing,kuna na yule mwingine wakuitwa maua samma,wanahua sana.
* Haahaaa leo sisi ndio tunaonekana wezi...wakati tuzo zenu zimebishaniwa na watu wa makundi mengi.
* Kwahiyo mnataka kuchakachua na leo....
Fetty hawezi kutangaza live yeye abaki redioni hapa kapooza
Mbona sauti inazingua?halafu inastack stack tu?au ni MB zangu chache labda
Tuzo ya heshima naona atapewa marehemu komba safi sana.
Teh teh ngoja tujaribu kuitungua kwa mbali hii kama tunavutunguaga zile 3 points
Aaaah wamebowa mpoki co mc