Heheee bahati mbaya sio mwalimuu
matamu balaaaaa
Kama ni maigizo ina maana hata wewe unaigiza kuangalia
Umewaona wawakilishi wao hapa wanavyojiuma uma?
Hahahahaaa.Wengine wamejificha...
Kwani domo hakuwa kwenye hiyo list au? Hapo kubalini ni 1-0.
Angekua hayupo sawa....
Haaaaa tusiojulikana tunaishia kuona kwa Tv.... Hahaaaa lol
Wema yupo kwenye category ya wanjera!
Ommy kuimba live hawezi kabisa...
Haaaaa tusiojulikana tunaishia kuona kwa Tv.... Hahaaaa lol
Zembwela ni MC mzuri ila hana utani kama hule wa Mpoki ....