Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Fetty na Zembelewa wamegombana kabla ya kupanda stejini mbona hawana mawasiliano kabisa.
 
Mpoki au Joti au Masanja wangeshika sehemu hapo pangekuwa patamu sana leo
 
Ma MC wamepooza..wanajishuku sijui wanaogopa kukosa shavu mwakani kama Mpoki
 
Salama wadau,naona tuzo za Kilimanjaro music awards ndio zimeanza mlimani city na ziko live Clods tv na ITV, well naona kuna weakness zimeanza kuonekana,kuna jamaa yupo stage ndio mshika mic,Kwa nini wasingeweka stand kwa ajili ya hiyo Mic,kwanza wanamchosha,pili haileti Picha nzuri,mtu anataka kuongea unamshikia mic,kwa nini waandaaji hawakuona hilo. Naomba kuwasilisha.
 

Attachments

  • 1434224382970.jpg
    1434224382970.jpg
    22.8 KB · Views: 222
Back
Top Bottom