Hahahahaaa, hamna bwana, ligi ni kesho....
Anaitwa Ruby. Kwa kweli anaimba sana binti
Akichukua Diamond hakuna tatizo nchi itaendelea vizuri au wote wakose
Kuuza sura.!Hiv mpaka waende wawili watatu jukwaan kupokea tuzo??hawez kwenda mwenye tuzo tu
Fetty na Zembelewa wamegombana kabla ya kupanda stejini mbona hawana mawasiliano kabisa.
Hivi Jide hayupo kwenye category nyingine?
Kajitahidi sana,shemeji yetu jamani huoni kazaa na watanzania 7ndio hajui kiswahiliii pumbavu zakeee