Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ahaahaaaha! kila mtu na sehemu yake...ww maarufu hapa Jf..wakialikwa mamembers humu hukosekani!
Kajitahidi sana,shemeji yetu jamani huoni kazaa na watanzania 7
Yuko vizuri! Naweza kupata contact zake aje aimbe kwenye birthday ya mwanangu!
Ma MC wamepooza..wanajishuku sijui wanaogopa kukosa shavu mwakani kama Mpoki
Mbona ITV inakata kata sana au King'amuzi changu ndyo tatizo..