Oyooooooooo, wallah nimevunja glass niliyokua nanywea juice.....
Wapi mtaa wa piliiiii?
Kumamaeeeeeeeeeee
Huu ushabiki umefikia viwango vya kijinga na kijuha sijapata kuona.
Haya wenzetu wa mtaa wa pili jimwageni sasa...
Hahahahaaa, wale waliojificha waje pia...lol