kuna malalamiko hasa kuhusu kutaka kuupa wimbo wa isha mashauz wa MAPENZI HAYANA DHAMANA tuzo wimbo huu hauna maudhui wala ladha ya taarab tena ni rumba lakin nashangaa eti unawania uwe wimbo bora wa taarab
nashangaa sana wakat kuna nyimbo kibao ambazo zingestahili kuwa kwenye kinyanganyiro
huu ni upendeleo