Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Oyooooooooooooooooo! Lalalalalaaaaaaaaaa kazi ipo leo.
 
:confused2::confused2::confused2:..... moja mojaaa!!!!!!

......

Mbona mpambano unaendeleaaa!!
 
kuna malalamiko hasa kuhusu kutaka kuupa wimbo wa isha mashauz wa MAPENZI HAYANA DHAMANA tuzo wimbo huu hauna maudhui wala ladha ya taarab tena ni rumba lakin nashangaa eti unawania uwe wimbo bora wa taarab
nashangaa sana wakat kuna nyimbo kibao ambazo zingestahili kuwa kwenye kinyanganyiro
huu ni upendeleo
 
Kwanini Zembwela kasema tutaona tofauti hapa?
Haya bwana....
 
Back
Top Bottom