mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Zamu yetu inafuatiaaaa....najiandaa kurukaruka hapa...uwiiii!
Huu ushabiki umefikia viwango vya kijinga na kijuha sijapata kuona.
Ndiyo burudani yenyewe hiyo bro
Mbona kila mtu anajifanya kutuma mtu kumchukulia.
Hahaha kitimoto na bia hapo..
mpaka sasa 1-1